Mtu kama haujui si ukae kimya tu!!ya nini kujibu thread isokuhusu..humu kuna watoto wajuzi wanaharibu shape ya jf.. kila thread lazima wakomenti wao,kwani lazima!?.kama huna namna ya kumsaidia mtu piga kimya wenye uwezo wapo watasaidia..unakuta mtu hata kupanda ndege kwenda Zanzibar tu hajawai ila Leo ndo wakwanza kwenye thread zinazoulizia nauli za kwenda China...