Nauli ya Dar kwenda Ifakara

Nauli ya Dar kwenda Ifakara

Naweza kwenda na kurudi siku hiyo hiyo?

Ni ngumu! Hiyo safari ni ndefu sana. Nakumbuka mimi nilitoka Moro saa 4 asubuhi Ifakara nikaingia saa 10. Kuanzia saa kumi haupati gari yoyote kuja Moro au Dar.
 
Kwa huduma za malazi ni ipi Hotel nzuri ifaayo kufikia na gharama zao zikoje!?
 
Dar - Ifakara ni Tsh 18,000/- ukifika stand panda bodaboda mwambie akupeleke guest house ya kiwango cha pesa yako,kuna vyumba vya 7000,10,000,15,000,20,000,25,000,35,000 nk nk.atakupeleka bila shida.waendesha bdabda ni tour guide wa wageni wote au me au she.
 
Back
Top Bottom