Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,423
- 8,367
Yapo pia ya sh. 45,000/= ambayo yana choo ndani. Choo cha kujisaidia haja ndogo tu.nauli 30-40 INATEGEMEA NA GARI
SAFARI MASAA 8-10/12
Yapo pia ya sh. 45,000/= ambayo yana choo ndani. Choo cha kujisaidia haja ndogo tu.nauli 30-40 INATEGEMEA NA GARI
SAFARI MASAA 8-10/12
Kapigwa mazima.Umepigwa, umetuma kwa manka?
Dar-Moshi mpaka 12 hrs wakati ule tukipandia mabasi Kisutu ilikuwa 5-6 hrs uko Moshi.Kama umemtumia saa sita mchana means alikuwa tayari yupo stand? Kama alikuwa bado hajajianda basi hadi kufika stand kama akiwa chap ni saa nane.....Kutoka Moshi mpaka Dar ni 11-12 hrs.
Poa jamaaDar-Moshi mpaka 12 hrs wakati ule tukipandia mabasi Kisutu ilikuwa 5-6 hrs uko Moshi.