mchovu wewe unaelilia pesa za fild mkuu,me nilitoka huko ulipo wewe yapata miaka 20 ilyopita.huelewi au sieleweki? Kwa akili yako kinyume cha 60,000 ni milion? Mi kupewa hizo pesa kunakujaje? Hakika humu kuna wachovu waliojificha chini ya kivuli cha ugreat thinker.
Mbona unatoa pole kiholela, usilolijua ndilo linalokusumbua
mchovu wewe unaelilia pesa za fild mkuu,me nilitoka huko ulipo wewe yapata miaka 20 ilyopita.
Kuna malalamiko mangapi hapa JF? Nao tuwaambie waende bungeni au ikulu? Muda ukifika utaelewa tu,, kama unafikiri kujadili haya ni kulialia hakika unapotea.Sasa dogo unavyolalamika hivyo......si uende HESLB????????siku hizi wana ofisi kila KANDA,,,,,,,,acha kulialia.......wewe si una akili MBINUKO??????
wewe kutoka huku unakodai mimi nipo, miaka 20 iliyopita hakuhalalishi upupu wako wa kufikiri kuongelea pesa za field ni kulialia.mchovu wewe unaelilia pesa za fild mkuu,me nilitoka huko ulipo wewe yapata miaka 20 ilyopita.
Kuna malalamiko mangapi hapa JF? Nao tuwaambie waende bungeni au ikulu? Muda ukifika utaelewa tu,, kama unafikiri kujadili haya ni kulialia hakika unapotea.
wewe kutoka huku unakodai mimi nipo, miaka 20 iliyopita hakuhalalishi upupu wako wa kufikiri kuongelea pesa za field ni kulialia.
Senetor mtoto huyo....HAJUI WAPI PA KUULIZA HELA ZA FIELd[/QUOTE kama huo ndiyo ukubwa basi mimi siutaki.
Senetor mtoto huyo....HAJUI WAPI PA KUULIZA HELA ZA FIELd[/QUOTE kama huo ndiyo ukubwa basi mimi siutaki.
kidogo umeanza kushirikisha akili, ila kujiona wewe mkubwa na wengine ni wadogo unakosea. Kumbe unajua ni nauli ya kwenda na kurudi, ndiyo maana nikauliza kwanini 60,000? Ni nauli ya kwenda wapi?Cost sharing hujawahi kuiskia????kama umepewa pungufu changanya na zako,ila bodi wanapokupa hela ya nauli hukupa ya kwenda na ya kurudia
kidogo umeanza kushirikisha akili, ila kujiona wewe mkubwa na wengine ni wadogo unakosea. Kumbe unajua ni nauli ya kwenda na kurudi, ndiyo maana nikauliza kwanini 60,000? Ni nauli ya kwenda wapi?
Unakimbia majukumu,kwani hizo hela utapewa maisha????? nakimbia majukumu vipi? Kwasababu haupewi milele basi hata sasa hutakiwi kupewa?
Unakimbia majukumu,kwani hizo hela utapewa maisha????? nakimbia majukumu vipi? Kwasababu haupewi milele basi hata sasa hutakiwi kupewa?
mbona unapenda kuita watu dogo, au mkishindwa kujibu hoja ndiko mnakokimbilia?Nimeshakuelewa kuwa wewe dogo ni wa kulialia
Si lazima sana,mfano kama unasoma chuo chochote hapa da,na field unafanyia dar baaaas,hupewi hela ya NAUL,the same to mwanafunz anesoma SUA,na anafnyia field araundi Mo town kumbe unaweza kujadili hoja? Katika mifano uliyoitoa kuna waliopewa 60,000 alafu kuna watu wanatoka Dar kwenda Mwanza wamepewa 6,000.