Nauli tsh. 60,000 kwenda field; vigezo gani vimetumika?

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Kila nikitafakari jinsi mambo yanavyoendeshwa hapa nchini nakosa majibu. Nauli 60,000 kwa vigezo vipi? Kwanini siyo 40,000 au 100,000.
 
inategemea field unafanyia wapi,cie wengine mwaka jana 2lienda mwanza from dsm hatukupewa ata1percent,shukuru umepata ata hio
 
Mbona huelewek mkuu,we ulitaka upewe milion ngap?
huelewi au sieleweki? Kwa akili yako kinyume cha 60,000 ni milion? Mi kupewa hizo pesa kunakujaje? Hakika humu kuna wachovu waliojificha chini ya kivuli cha ugreat thinker.
 
Tindikali punguza jazba, kama unahitaji maoni ya wadau wengi andika sredi yako fresh.
 
Huyo ni mwanafunz halafu hata hela ya kujikimu hana anawazia hela ya field na mitihan badoooo.....sasa ndio maana ana hasira,maana na NYANGA HUWA TYT SANA WIKI HIZI......MSAMEHE

Wewe ni mwanafunz banaaaa,tena waweza kuwa wa udsm o UDOM.......
hata ikiwa mimi ni mwanafunzi{kwa kuwa wewe umesema}, ndivyo thread ilivyokutaka ujue kwamba mimi ni mwanafunzi? Kwako kuongelea nauli za field lazima uwe mwanafunzi? Mawazo mpindo hayo.
 
Huyo ni mwanafunz halafu hata hela ya kujikimu hana anawazia hela ya field na mitihan badoooo.....sasa ndio maana ana hasira,maana na NYANGA HUWA TYT SANA WIKI HIZI......MSAMEHE
ona sasa unakoenda, hatupo hapa kusameheana,, ikiwa huwezi kujadili hoja kaa kimya. Hivi nauli ya Dar-Morogoro yaweza vipi kuwa sawa na nauli ya Dar-Mwanza? Acha kujivua nguo wewe,, kujadili kutokuwa na hela ya kujikimu, sijui wiki tait, wote huo ni umbumbu wa akili ambao nilitegemea kuukuta Facebook.
 
Tindikali punguza jazba, kama unahitaji maoni ya wadau wengi andika sredi yako fresh.
Hata siyo jazba, mi nategemea humu ndani hatuna watu wenye fikra nyepesi za kufikiri kila hoja mtu anayoandika lazima imguse yeye, hata kama ni yeye bado sidhani kama mwenye akili timamu anaweza kuanza kujadili mtu badala ya hoja.
 
Kumbe facebuku ndio kiota chako,pole sana......maana mishipa inakutoka kwa nauli za HESLB,,,,,,,,,,,pole sana......
ona sasa unakoenda, hatupo hapa kusameheana,, ikiwa huwezi kujadili hoja kaa kimya. Hivi nauli ya Dar-Morogoro yaweza vipi kuwa sawa na nauli ya Dar-Mwanza? Acha kujivua nguo wewe,, kujadili kutokuwa na hela ya kujikimu, sijui wiki tait, wote huo ni umbumbu wa akili ambao nilitegemea kuukuta Facebook.
 
Sasa dogo unavyolalamika hivyo......si uende HESLB????????siku hizi wana ofisi kila KANDA,,,,,,,,acha kulialia.......wewe si una akili MBINUKO??????
Hata siyo jazba, mi nategemea humu ndani hatuna watu wenye fikra nyepesi za kufikiri kila hoja mtu anayoandika lazima imguse yeye, hata kama ni yeye bado sidhani kama mwenye akili timamu anaweza kuanza kujadili mtu badala ya hoja.
 
hata ikiwa mimi ni mwanafunzi{kwa kuwa wewe umesema}, ndivyo thread ilivyokutaka ujue kwamba mimi ni mwanafunzi? Kwako kuongelea nauli za field lazima uwe mwanafunzi? Mawazo mpindo hayo.
sasa kama sio denti unalilia nin kuhusu hzo pesa za fild..
 
Back
Top Bottom