Nature is cruel to men, time is cruel to women

Wanaume tuna kazi kubwa sana, usimshangae mwanaume anaongea mwenyewe barabarani.

Mwanamke atataka care, uwe karibu nae muda wote na hapo hapo atataka pesa, mara umkojoleshe, saivi tena wanataka mshahara.

Bado kuna watoto wanakusubiri ulipe ada na matumizi ya nyumbani, hapo mwenye nyumba anakusubiri, mara sijui kuna kwenda saloon akasuke, bado kuna nguo mpya imetoka amemuona shoga yake amevaa na yeye anataka.

Bado kijijini mama na baba yako wanakutegemea washazeeka, bado kuna ndugu wanahitaji support yako.

Bado kuna starehe zinakusubiri, mara umepita instagram umekutana na aisha nyigu, yaani ni tabu tupu wakuu.

Hizi stress watu wengine mnazitolea wapi aisee?? Fanya kazi pata kipato chako furahia maisha yako, mambo ya nyumbani wazee wamezeeka wanakutegemea Wewe ni kujitwisha kazi za Mungu na serikali Ndio maana wazungu wazee Kama hao wanawapeleka foster homes sio kwamba hawana akili! Muda wa kujijenga unautoa wapi ukibeba mzigo wote huo? Tunza watoto wako huo Ndio wajibu wako!
 
Kama ww unaona ni sawa kutowatunza baba na mama yako ni sawa kwa upande wako.

Ila mm nathamini nilipotoka na nina upendo wa dhati kwa familia yangu, ntafanya yote ila wazazi ni muhimu sana kwangu.

Wametusomesha shule za gharama mpaka vyuo, wamejinyima sana kuona sisi tunapata future iliyo nzuri, leo hii nishindwe kurudisha fadhila niseme ni kazi ya Mungu na serikali?
 
Mkuu po
Salute jf members.

Ni bahati mbaya sana hamna Chuo wala Shule kinachofundisha elimu ya mahusiano kwa sehemu kubwa tunajifunza kutokana na makosa yetu au ya watu wengine.

Moja kwa moja kwenye point.

Katika ulimwengu wa mapenzi, mwanamke na mwanaume wanatofautiana sana linapokuja suala la “THAMANI” kichanga tunaita “VALUE/WORTH”
Kama tunavyojua Thamani ya mtu ndio inamaamua apewe meza ya kawaida au VIP, Thamani ya mtu ndio inaamua ule paja la kuku au mguu. N.k Bila shaka tuko pamoja katika hilo.

TIME IS CRUEL TO WOMEN.
Kutokana na Nature ilivyo, Thamani Ya mwanamke kwenye mahusiano ya kimapenzi huwa inapanda kwa kasi sana pale Tu anapovunja ungo, na huanza kushuka Taratibu kuanzia pale anapoteza Bikra na kuendelea. Mheshimu sana mwanamke atakayekupenda katika hatua hii, maana amewakataa wengi akakuchagua wewe.

Katika hatua hii, Tabia ndio itaamua aendelee kukaa katika kiwango hicho cha Thamani au lah, na hapa ndio wanawake wengi huwa nafanya makosa. Kitendo cha kutongozwa na idadi kubwa ya wanaume kinampumbaza kuna kuona kwamba anaweza kuolewa na mwanaume yeyote. Hiki ndio kipindi pekee Mwanamke huwa anataka mwanaume mwenye Pesa, hawa wengine labda awe na personalities/Appearance inayomvutia.

HII INAKUFUNZA NINI KAMA MWANAMKE?
Dear Ladies, kama uko kipindi hiki basi jitahidi sana ujitunze SANA SANA SANA, hata kama utateleza basi isiwe ndio tabia, maana kadri unavyoshiriki mapenzi na wanawaume tofauti ndivyo Thamani yako inavyoshuka. Hakikisha idadi yako ya wanaume uliofanya nao mapenzi ni zero au iwe inahesabika. Sio unakuta mwanamke idadi ya Ex haihesabiki. Trust me kuna point itafika hamna mwanaume atakuwa na habari na wewe. Hata akitokea basi atakuwa wa thamani sawa na wewe.
Kuna msemo niliona mahali unasema “MWANAMKE ANAWEZA KULALA NA MWANAUME YEYOTE ANAYEMTAKA, NA MWANAUME ATALALA NA YEYOTE ATAKAYEMPATA, ILA MWISHO WA SIKU MWANAMKE ATAOLEWA NA YEYOTE ATAKAYEMPATA NA MWANAUME ATAOA MWANAMKE ANAYEMTAKA” Bind this in Mind.

Na kama Elimu imekuja too late, then jijenge kitabia, tena jijenge haswa. Halafu tafuta pesa, maana ndio njia pekee iliyobaki kuongeza thamani yako. Kuna wanaume wanatafuta BIKRA, alafu kuna wanaume wanatafuta mwanamke wa kufanya nae Maisha hiyo bikra ni majaaliwa, mwanamke atakeyeweza kubeba majumu yake katika ndoa. Mwanamke atakayeitunza heshima ya mwanaume katika hali yoyote.

NATURE IS CRUEL TO MEN
Ni bahati mbaya kwa mwanaume sababu yeye Thamani yake inapanda kadri mda unavyozidi kwenda. Hii ina maana kwamba kuanzia pale anabalehe thamani yake huwa ni ndogo sana. Na kuanza kuongezeka Taratibu sana kadri mda unavyozidi kwenda. Ingawaje, sio naturally kama ilivyo kwa mwanamke. Yeye Thamani yake huanza kukua kuanzia pale anapoanza kujijenga na kujiimarisha kiuchumi.

Ukiachilia mbali Personality, Peromance na Apperance kitu kikuu kinachompa mwanaume THAMANI katika mahusiani ni uwezo wake wa kiuchumi. Nje ya hapo utaona mahusiano shubiri na utahisi huna bahati.

HII CONCEPT INAKUFUNZA NINI KAMA MWANAUME.
Kabla hujaandisha mahusiano hakikisha AFYA YA UCHUMI WAKO, MWILI NA KIALI viko sawa. Kama haviko sawa then jijenge kwanza ili usijesumbua washauri wa ndoa au mahakama kwa migogoro isiyoisha. Katika kitabu cha AWAKENING, Mark Nepo anasema “Flowers don’t chase the bees, it blossoms and the bees come” akimaanisha maua hayafukuzii nyuki, bali yanachanua na nyuki wanakuja wenyewe.

Tatizo la wengi ni kuwa Umaskini umewabadili fikra kiasi kwamba wanaamini mwanamke anayeomba pesa anatamaa na hafai maana anaweza rubuniwa na mwanaume yeyote mwenye pesa. Na yule asiomba pesa anafaa sababu hana Tamaa. Binafsi naona ni kheri huyu anayekuomba pesa sababu yule REAL, haigizi wala hana unafiki, kwamba unaishi nae ukijua kabisa, Ogopa sana huyu asiyekuomba pesa lakini akipewa na wengine anapokea.

Niamini mimi, Yule mwanaume anayeleta kiroba cha unga nyumbani ana thamani Zaidi na anaheshimika kuliko yule anayeleta maua.
Mwanamke anafurahia SMS nzuri ya Mapenzi lakini Furaha yake haizidi SMS ya muamala uliotuma mda mfupi baada ya kukuomba.

Hakikisha unaweza wa kukidhi haja za Mpenzi wako, hasa za kiuchumi na kihisia.
sababu utaishia kumkamata Mpenzi wako na kesi za kuchet. Ni kheri akucheat ukiwa na pesa sababu utajua moja kwa moja huyu ni either tamaa au Tabia zako mwenyewe. Kuliko akucheat ukiwa huna hela maana wengine huwa wanacheat sababu ya njaa.
Mkuu

Mkuu! Uliwahi kujarbu kuangalia mahusiano.kwa jicho la PIMP!

KUNA kitu naamini utajifunza
Bad guys mara nying wanakuwaga kweny win win win win situation!

Kuna haja ya kujifunza haya mambo from bad guys.
 
Naomba nipingane na wewe kidogo....

Unasema thamani ya mwanamke inaanza punde tu anapoingia balehe na akilala na wanaume wengi thamani inapotea. Pia unasema thamani ya mwanaume inaongezeka kulingana na uwezo wa kiuchumi....

Sasa, unataka kusema thamani ya mwanamke inabebwa tu na mvuto wake? kwamba kazi yake kwenye mahusiano ni ngono tu? na thamani ya mwanaume ni pesa tu? vitu vinavofanya mahusiano yadumu ni vingi zaidi ya pesa na mvuto wa kingono... ndio mwanaume ni vizuri atafute hela, na pia ni vizuri mwanamke asiendekeze ngono, lakini haimaanishi ukifanya hivyo ndo utapata mwenza sahihi....

Binafsi naona hiyo nadharia ya 'time is cruel to women' kwamba wakifika 30s hawana thamani tena, wanaume tunapenda kuisisitiza sana kwasababu inatufanya tujione ni bora kuliko wanawake, ina ukweli ila tunaipa uzito sana.... na hapo kwenye ngono labda ujizuie kwasababu za kidini tu, ila hoja haina uzito wowote....

Kwa wanaume, unaweza ukafikia umri wa utu uzima(30-40) na usiwe na pesa kabisa,

mada ina ukweli, ila haijengi picha kamili....
Hit the wall
Huwa tunawaitaga after 30 yrs old.

Na ndipo focus wanapoiweka kwenye ku-look young instead of aging good!.

Maoni ya mtoa mada niseme tu hakuna jipya wala cha tofauti ambacho watasikia au watajaribu ambacho kitaleta utofauti.
 
Salute jf members.

Ni bahati mbaya sana hamna Chuo wala Shule kinachofundisha elimu ya mahusiano kwa sehemu kubwa tunajifunza kutokana na makosa yetu au ya watu wengine.

Moja kwa moja kwenye point.

Katika ulimwengu wa mapenzi, mwanamke na mwanaume wanatofautiana sana linapokuja suala la “THAMANI” kichanga tunaita “VALUE/WORTH”
Kama tunavyojua Thamani ya mtu ndio inamaamua apewe meza ya kawaida au VIP, Thamani ya mtu ndio inaamua ule paja la kuku au mguu. N.k Bila shaka tuko pamoja katika hilo.

TIME IS CRUEL TO WOMEN.
Kutokana na Nature ilivyo, Thamani Ya mwanamke kwenye mahusiano ya kimapenzi huwa inapanda kwa kasi sana pale Tu anapovunja ungo, na huanza kushuka Taratibu kuanzia pale anapoteza Bikra na kuendelea. Mheshimu sana mwanamke atakayekupenda katika hatua hii, maana amewakataa wengi akakuchagua wewe.

Katika hatua hii, Tabia ndio itaamua aendelee kukaa katika kiwango hicho cha Thamani au lah, na hapa ndio wanawake wengi huwa nafanya makosa. Kitendo cha kutongozwa na idadi kubwa ya wanaume kinampumbaza kuna kuona kwamba anaweza kuolewa na mwanaume yeyote. Hiki ndio kipindi pekee Mwanamke huwa anataka mwanaume mwenye Pesa, hawa wengine labda awe na personalities/Appearance inayomvutia.

HII INAKUFUNZA NINI KAMA MWANAMKE?
Dear Ladies, kama uko kipindi hiki basi jitahidi sana ujitunze SANA SANA SANA, hata kama utateleza basi isiwe ndio tabia, maana kadri unavyoshiriki mapenzi na wanawaume tofauti ndivyo Thamani yako inavyoshuka. Hakikisha idadi yako ya wanaume uliofanya nao mapenzi ni zero au iwe inahesabika. Sio unakuta mwanamke idadi ya Ex haihesabiki. Trust me kuna point itafika hamna mwanaume atakuwa na habari na wewe. Hata akitokea basi atakuwa wa thamani sawa na wewe.
Kuna msemo niliona mahali unasema “MWANAMKE ANAWEZA KULALA NA MWANAUME YEYOTE ANAYEMTAKA, NA MWANAUME ATALALA NA YEYOTE ATAKAYEMPATA, ILA MWISHO WA SIKU MWANAMKE ATAOLEWA NA YEYOTE ATAKAYEMPATA NA MWANAUME ATAOA MWANAMKE ANAYEMTAKA” Bind this in Mind.

Na kama Elimu imekuja too late, then jijenge kitabia, tena jijenge haswa. Halafu tafuta pesa, maana ndio njia pekee iliyobaki kuongeza thamani yako. Kuna wanaume wanatafuta BIKRA, alafu kuna wanaume wanatafuta mwanamke wa kufanya nae Maisha hiyo bikra ni majaaliwa, mwanamke atakeyeweza kubeba majumu yake katika ndoa. Mwanamke atakayeitunza heshima ya mwanaume katika hali yoyote.

NATURE IS CRUEL TO MEN
Ni bahati mbaya kwa mwanaume sababu yeye Thamani yake inapanda kadri mda unavyozidi kwenda. Hii ina maana kwamba kuanzia pale anabalehe thamani yake huwa ni ndogo sana. Na kuanza kuongezeka Taratibu sana kadri mda unavyozidi kwenda. Ingawaje, sio naturally kama ilivyo kwa mwanamke. Yeye Thamani yake huanza kukua kuanzia pale anapoanza kujijenga na kujiimarisha kiuchumi.

Ukiachilia mbali Personality, Peromance na Apperance kitu kikuu kinachompa mwanaume THAMANI katika mahusiani ni uwezo wake wa kiuchumi. Nje ya hapo utaona mahusiano shubiri na utahisi huna bahati.

HII CONCEPT INAKUFUNZA NINI KAMA MWANAUME.
Kabla hujaandisha mahusiano hakikisha AFYA YA UCHUMI WAKO, MWILI NA KIALI viko sawa. Kama haviko sawa then jijenge kwanza ili usijesumbua washauri wa ndoa au mahakama kwa migogoro isiyoisha. Katika kitabu cha AWAKENING, Mark Nepo anasema “Flowers don’t chase the bees, it blossoms and the bees come” akimaanisha maua hayafukuzii nyuki, bali yanachanua na nyuki wanakuja wenyewe.

Tatizo la wengi ni kuwa Umaskini umewabadili fikra kiasi kwamba wanaamini mwanamke anayeomba pesa anatamaa na hafai maana anaweza rubuniwa na mwanaume yeyote mwenye pesa. Na yule asiomba pesa anafaa sababu hana Tamaa. Binafsi naona ni kheri huyu anayekuomba pesa sababu yule REAL, haigizi wala hana unafiki, kwamba unaishi nae ukijua kabisa, Ogopa sana huyu asiyekuomba pesa lakini akipewa na wengine anapokea.

Niamini mimi, Yule mwanaume anayeleta kiroba cha unga nyumbani ana thamani Zaidi na anaheshimika kuliko yule anayeleta maua.
Mwanamke anafurahia SMS nzuri ya Mapenzi lakini Furaha yake haizidi SMS ya muamala uliotuma mda mfupi baada ya kukuomba.

Hakikisha unaweza wa kukidhi haja za Mpenzi wako, hasa za kiuchumi na kihisia.
sababu utaishia kumkamata Mpenzi wako na kesi za kuchet. Ni kheri akucheat ukiwa na pesa sababu utajua moja kwa moja huyu ni either tamaa au Tabia zako mwenyewe. Kuliko akucheat ukiwa huna hela maana wengine huwa wanacheat sababu ya njaa.
Nakazia 💯💯💯. Point noted
 
Tufunge mwaka na huu uzi
 
Facts tupu , ndio maana wanawake,warembo walio wengi huishia dungwa mimba na kuwa ma single mothers sababu wanakuwa na option kubwa ya kuchagua chagua wanaume akijastuka 35 hii,mara 40 kwishiney alafu wanawake wenye mionekano ya kawaida kwa sababu ya kuvumilia na kutulia sehemu moja, ndio wanamiliki ndoa .na wanaume wenye mpunga na mionekano mibaya walio wengi ndio wanawadunga mimba hawa warembo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom