Nature is amazing

Your browser is not able to display this video.
 
Imagine hesabu zinavyopigwa hapo na wanatoka na hizo hexagons bila ruler wala kifaa chochote
 
Mto nile kutoka bondeni kupanda mlima hadi misri
 
Ndege wa angani wanavyokula bila kulima, na utengenezaji wa viota vyao. Hiyo elimu ya ujenzi sijui wametoa wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…