Candid Scope JF-Expert Member Joined Nov 8, 2010 Posts 11,897 Reaction score 6,933 Feb 4, 2015 #2 mshana jr said: View attachment 224141 Click to expand... Wakazi wa maeneo ambayo yameathiriwa na volano kuna madiri kwenye maji ambayo husabisha hii kitu meno kuwa hivi, wengi ni Kilimanjaro, Arusha, Manyara na Singida.
mshana jr said: View attachment 224141 Click to expand... Wakazi wa maeneo ambayo yameathiriwa na volano kuna madiri kwenye maji ambayo husabisha hii kitu meno kuwa hivi, wengi ni Kilimanjaro, Arusha, Manyara na Singida.
naiman64 JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 6,989 Reaction score 5,510 Feb 4, 2015 #3 Hiyo ni Kilimanjaro, Arusha, Manyara, Singida na Dodoma
mankachara JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 6,161 Reaction score 3,496 Feb 4, 2015 #4 nashkuru zanzibar haipo
Michael Ngusa JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 1,637 Reaction score 463 Feb 4, 2015 #5 hii kitu huwa inaniturn off...so nikiwa nalamba mchaga hata sijishughulishi kumfanya atabasamu
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,524 Reaction score 185,666 Feb 4, 2015 #6 Kitu from kaskaziniiiiiiiii hahhah
Tyta JF-Expert Member Joined May 21, 2011 Posts 12,767 Reaction score 10,539 Feb 4, 2015 #7 ''northen zone'' bling bling vs western bling bling
Salamander JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 28,545 Reaction score 15,781 Feb 4, 2015 #8 Wenye meno kama hayo wanapenda hela kama mifuko ya suruali.
Tee Bag JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 7,220 Reaction score 5,627 Feb 4, 2015 #10 Mmmmh...