Natural beauty

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,209
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
 
hahaaa..ujumbe umewafikia
 
Ebu tupia ya bi salma tuone
 
namtetea _________ kwa hiyo kuvaa wigi vibaya? mbona we hunyoi para kama salim kikeke? coming to styles kila mmoja anapenda linalomvuta
 
Kunyoa inategemea na kichwa na sura.......wengine tukinyoa unaweza sema ni mwanaume jinsi sura zetu zilivyo.....
 
Hakuna Mwanamke Mbaya..... HAPPY WOMEN DAY.....

Kunyoa inategemea na kichwa na sura.......wengine tukinyoa unaweza sema ni mwanaume jinsi sura zetu zilivyo.....
 
Last edited by a moderator:
Hakuna Mwanamke Mbaya..... HAPPY WOMEN DAY.....
Asante...hivi haujawahi kukutana na wanawake wana sura kama mwanaume?....kuna mahali ndo nilikuwa naenda kuanza kazi kwa mara ya kwanza...basi kuna mmama amenyoa yani bila kutambulishwa kuwa ni mmama nilijua ni mbaba afu ana sauti ya besi....acha tu...
 
Last edited by a moderator:
Hakuna Mwanamke Mbaya..... HAPPY WOMEN DAY.....

Usiyasikilize yao ... eti dudubaya mkorofi ... mimi si mkorofi ... wananichokoza honey ... nakupenda kama apple
 
Last edited by a moderator:
waapa bongo mpaka rangi kaiongezea.....sembuse nywele
 
Kweli kabisa hakuna mwanamke mbaya
 
namtetea _________ kwa hiyo kuvaa wigi vibaya? mbona we hunyoi para kama salim kikeke? coming to styles kila mmoja anapenda linalomvuta

Wenye mawazo kama yako ndio wanao tetea mashoga na ushoga.
 
Sawa bana, umeshinda.... ingawa sikutaka kusema hii kitu kwa siku ya leo.....

Ila huyu anapendwa sana hadi akina Amber Rose wanamuiga.....

Mkuu Sikonge ahsante sana nimependelea ujumbe wa humu ndani

Kwa kweli imenichukua karibu mara nne au tano kusikiliza, hamu ilikuwa hainiishi kila wakati naona niurudie tu huu wimbo

Narudia tena ahsante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ