Zamani ilikua inasoma?
Kuna mawili hapo either ni lock ya mtandao (docomo ni mtandao wa simu) ama imekuwa blacklisted,
Kama ni network lock kuna mafundi walio specialise huko, ni KAZI ndogo Ila kama ipo blacklisted ukifuata Sheria ina mlolongo kidogo mpaka upate fundi alieidhinishwa na TCRA, upate IMEI ya Kihalali.