Natumia dawa za PID na UTI siwezi kuathiri ujauzito

Madame oresta

Member
Jul 6, 2022
13
4
Habari samahani wakuu first mimi ni mjamzito wa 5weeks nilienda kupima utrasound nikaambiwa na PID Sugu na UTI nimeandikiwa sindano saba za ceftriaxone pamoja na co-amoxiclav tables nazo za siku saba ambayo nimeze baada ya kumaliza sindano sasa naombeni msaada kuwa hizi dawa zitanisaidia kupona PID Sugu na UTI maana nahofia usalama wa kiumbe tumboni
 
Hizo dawa ni the best.. isipopona hapo hiyo itakuwa sugu hasa, itabidi wahamie kwenye ma meropenem huko.
Na ni bora watibu hizo PID & UTI mapema maana zisipotibika hizo kuna uwezekano ukapoteza mimba yenyewe.
 
Hata hivyo nimeanza kuona mabdiliko yaani yale maumivu yamepungua maana tumbo chini ya kitovu lilikua linauma nmesha choma kwan nne nkasema ni share ili npate mawili matatu nashkuru kwa ushauri
 
Hata hivyo nimeanza kuona mabdiliko yaani yale maumivu yamepungua maana tumbo chini ya kitovu lilikua linauma nmesha choma kwan nne nkasema ni share ili npate mawili matatu nashkuru kwa ushauri
Utakuwa sawa tu wala usijali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom