Dawa za PID na UTI haziwezi kudhuru ujauzito?

Madame oresta

Member
Jul 6, 2022
13
4
Habari samahani wakuu first mimi ni mjamzito wa 5weeks nimeenda kupima utrasound nikaambiwa na PID Sugu na UTI nimeandikiwa sindano 7 za ceftriaxone na pamoja na co-amoxiclav tables ya siku saba nimeze baada ya kumaliza sindano saw itansaidia kupona kwa haraka na ujauzito wangu hautapata madhara?
 
Taja majina ya hizo dawa

Mfano, Paracetamol, Amoxicillin n.k
 
Hingera kwa ujauzito. Tumia dawa na zingatia usafi wa maliwato.

Usimsahau baba kijacho kudungwa sindano za UTI pia
 
Habari samahani wakuu first mimi ni mjamzito wa 5weeks nimeenda kupima utrasound nikaambiwa na PID Sugu na UTI nimeandikiwa sindano 7 za ceftriaxone na pamoja na co-amoxiclav tables ya siku saba nimeze baada ya kumaliza sindano saw itansaidia kupona kwa haraka na ujauzito wangu hautapata madhara?
Nafikiri ulitakiwa kumwambia Dr. kihusu hali yako wakati anakupima. Vinginevyo nenda kliniki, waelezee kule watakupa ushauri. Usichukue dawa bila ya ushauri wao katika hali yako.
 
Sjachukua tu nliandikiwa na Dr na nlimweliza yote nimeamua kushare hapa ili kama kuna wazoefu zaidi nipate tu japo matumaini ya kupona maana nahofia usalama wa kiumbe tumboni 🙏
 
Then itakuwa salama kama utafuata masharti ya utumiaji wake na kama utaipata exact original product aliyoandika Dr.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom