Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,538
Wakuu nahitaji kujuzwa jinsi kutuma repoti ya mauzo na manunuzi ktk mashine ya risiti yaani kutuma z repoti.
Unamaanisha kufanya z closing?Wakuu nahitaji kujuzwa jinsi kutuma repoti ya mauzo na manunuzi ktk mashine ya risiti yaani kutuma z repoti.
Yap mkuu. Ndio kutuma z report kwa mauzo na manunuo.Unamaanisha kufanya z closing?
unabonyeza button ya z/p after that itakupa maelezo bonyeza 00 kuproceed ,itatotofa receipt ,utaitoa . after that utasubiri itoke riceipt ya comfirmation inayotoka TRAYap mkuu. Ndio kutuma z report kwa mauzo na manunuo.