Sicario poison
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,327
- 4,575
Ndo mambo Kama hayo ya wanawake sasa tuambie wewe si ndio ulitaka uwe umezaliwa mwanamke??
Ivi wanawake mna shida gani haswaaaa kama mwanaume humtaki mwambie sio tunajipinda kutafuta pesa na kuhudumia kumbe una king'asti chako pembeni tena hakakutaki mpaka utoe hela kijamaa chenyewe chembamba kama kademu vile hata mwili hakana sijui unakapendea nini
Walah naapa pesa atazirudisha by any means, tutabadilishana majengo ya serikali pendo na hicho kibwana chako tahila wewe [emoji35]
Mtetezi wa walimu umerudi.....tunasubiri uwape ukweli mchunguIvi wanawake mna shida gani haswaaaa kama mwanaume humtaki mwambie sio tunajipinda kutafuta pesa na kuhudumia kumbe una king'asti chako pembeni tena hakakutaki mpaka utoe hela kijamaa chenyewe chembamba kama kademu vile hata mwili hakana sijui unakapendea nini
Walah naapa pesa atazirudisha by any means, tutabadilishana majengo ya serikali pendo na hicho kibwana chako tahila wewe [emoji35]
Pole kamandaIvi wanawake mna shida gani haswaaaa kama mwanaume humtaki mwambie sio tunajipinda kutafuta pesa na kuhudumia kumbe una king'asti chako pembeni tena hakakutaki mpaka utoe hela kijamaa chenyewe chembamba kama kademu vile hata mwili hakana sijui unakapendea nini
Walah naapa pesa atazirudisha by any means, tutabadilishana majengo ya serikali pendo na hicho kibwana chako tahila wewe [emoji35]
Uyo pendo yuko mkoa gani kamanda? Hili bango asilimia 99 linanihusu na mmIvi wanawake mna shida gani haswaaaa kama mwanaume humtaki mwambie sio tunajipinda kutafuta pesa na kuhudumia kumbe una king'asti chako pembeni tena hakakutaki mpaka utoe hela kijamaa chenyewe chembamba kama kademu vile hata mwili hakana sijui unakapendea nini
Walah naapa pesa atazirudisha by any means, tutabadilishana majengo ya serikali pendo na hicho kibwana chako tahila wewe [emoji35]