Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,590
- 31,139
Hivi wanawake mna shida gani haswaaaa kama mwanaume humtaki mwambie sio tunajipinda kutafuta pesa na kuhudumia kumbe una king'asti chako pembeni tena hakakutaki mpaka utoe hela kijamaa chenyewe chembamba kama kademu vile hata mwili hakana sijui unakapendea nini
Walah naapa pesa atazirudisha by any means, tutabadilishana majengo ya Serikali pendo na hicho kibwana chako tahila wewe😡
Walah naapa pesa atazirudisha by any means, tutabadilishana majengo ya Serikali pendo na hicho kibwana chako tahila wewe😡