Natuma pesa kumbe kuna dume linazitumia

Natuma pesa kumbe kuna dume linazitumia

Ivi wanawake mna shida gani haswaaaa kama mwanaume humtaki mwambie sio tunajipinda kutafuta pesa na kuhudumia kumbe una king'asti chako pembeni tena hakakutaki mpaka utoe hela kijamaa chenyewe chembamba kama kademu vile hata mwili hakana sijui unakapendea nini

Walah naapa pesa atazirudisha by any means, tutabadilishana majengo ya serikali pendo na hicho kibwana chako tahila wewe [emoji35]
Umehonga teaching allowance 😀
 
Laana hiyo ya kuwatukana walimu
 
Mkuu sijakuzoea kulalamika kwenye hii sekta 🤣🤣🤣
 
Ivi wanawake mna shida gani haswaaaa kama mwanaume humtaki mwambie sio tunajipinda kutafuta pesa na kuhudumia kumbe una king'asti chako pembeni tena hakakutaki mpaka utoe hela kijamaa chenyewe chembamba kama kademu vile hata mwili hakana sijui unakapendea nini

Walah naapa pesa atazirudisha by any means, tutabadilishana majengo ya serikali pendo na hicho kibwana chako tahila wewe [emoji35]
hawa wanawake mnawatoaga wapi kha
 
kwa mara ya kwanza nipo upande wako Mpwayungu Village

mzee wa Dislike kama namuona anavyokuja kuaribu uzi [emoji125][emoji125][emoji125]
Huyo Jamaa mnampaisha sana, mbona mi hajawahi kunipatia dislikes zenu hizo?

Pia hata akinipatia hizo dislikes nitapungukiwa na nini, kwani lazima tufanane mawazo kimtizamo?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom