Natoka jasho na napata michubuko kwenye korodani

Natoka jasho na napata michubuko kwenye korodani

mandingo 94

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
269
Reaction score
196
Hàbari ndg zangu, mdau mwenzenu nimekuja mbele yenu naomba muongozo au msaada ya Kwanza maana hapa sielewi Hali ilivyo kwangu.

Mimi kijana wa miaka 24 ni mnene na Nina kilo 70,shida yangu kubwa huwa nikiwa natembea umbali wa klmetar 2 na kuendelea huwa natoka Sana na jasho kwenye korodani zangu Kisha huchubuka mapajani na hunaniweka kwenye Hali ngumu hasa wakati wakutembea.

Ila hiyo changamoto nimeshazoea kwenye maisha yangu kutokana na mwili wangu, shida kubwa sasa imejitokeza kwenye korodani zangu zinabanduka ngozi kila siku na Zinakuwa nyekundu pia zina maumivu Sana sijui shida gani na bado sijui nianza na Tina gani ya huduma ya Kwanza na ombeni ushauri wenu.
 
Punguza huo uzito kwa umri wako huo uzito ni hatariiii Sana

Unene sio afya,
Punguza kula
Fanya mazoez makali

Acha ngono
Acha uvivu
Acha ulafi

NB
Ukiendelea hivo hivo lazima uchapiwe labda usioe
 
Io ni pumbu jero ndugu yangu, Kama umesoma boarding school za kawaida za hapa bongo ni ugonjwa common sana.
 
Kabla ya kukupa ufumbuzi wa tatizo lako,fafanua kwanza khadija na pumbu hii imekaaje wewe khadija?
 
Kata hizo mbupu utakuwa na amani vinginevyo utakuwa na amani tu kwa huo mwilu kuushughulisha au uwe na madeni mengi
 
Hadija na mapumbu wapi na wapi

Hata Kama Email ilifungiwa umeshindwa chagua jina linaloendana na wewe au jina lisilo egemea jinsia

Nahis harufu ya ubwabwa hapa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hàbar ndg zangu mdau mwenzenu nimekuja mbeleyeni naomba muongozo au msaada ya Kwanza maana hapa sielewi Hali ilivyo kwangu mim kijana wa miaka 24 ni mnene na Nina kilo 70 shida yangu...
Muone Doctor akushauri vyakula vya kupunguza mwili na fanya mazoezi ya kupunguza mwili, hakuna lingine
 
Back
Top Bottom