falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,186
- 9,288
Wakuu kwa upendo kabisa natoa ya siti tano pekee kwa member wa jamiiforums wanaotaka kwenda moshi leo saa tano asubuhi hii ni baada ya kuona watu wanavyonyanyasika kisa siti zingi zimenunuliwa na walanguzi wachache ubungo.unakuta mtu kanunua siti kumi kwenye basi moja,ukienda ofisini mnaambiwa zimejaa walakini ukiwafuata watoto wa mjini wachache watakuuzia kwa elfu hamsini au sitini.rest assured sumatra watapambana lakini hawatashinda.nina jamaa zangu wanaticket sitini na mbili walizinunua mwezi uliopita,kipindi hiki ni kipindi cha mavuno Usafiri ni wa coaster mayai full ac tv na juice,seat belt.
Nauli tsh 42000
Nauli tsh 42000