ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,320
- 50,538
Familia ya mfumo wangu wa fahamu inapenda KUTOA shukrani kwa Bibie flora na miss chaga kwa makubwa mnayonifanyia katika moyo wangu na hasa pale mnaponikonga nyonyo na kunisisimua kwa michango yenu..shukrani zaidi itatolewa kwenye account zenu za benki natoa ahadi ya ku deposit kiasi flani cha pesa taslimu kwa kazi nzuri sana mnayoifanya.napenda kusikia neno lolote kutoka kwenu
UKO wapi flora msofe mimi na moyo wangu tuje
Miss chaga mama asante.. nyie ndo wachangiaji wangu bora kwa sasa kwa upande wa wanawake
Na hii ni kwa hisan ya upendo tu..
UKO wapi flora msofe mimi na moyo wangu tuje
Miss chaga mama asante.. nyie ndo wachangiaji wangu bora kwa sasa kwa upande wa wanawake
Na hii ni kwa hisan ya upendo tu..