Natoa pikipiki ya Mkataba

Natoa pikipiki ya Mkataba

Pure Scientific

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
716
Reaction score
644
Habari nina pikipiki Used ina mwaka mmoja.

Natafuta kijana wa kumpa mkataba Awe ana nipa Elfu 10 kwa siku.

Baada Ya miezi nane nitampa kadi.

Eneo liwe Dar.
 
Pikipiki ina muda gani toka umenunua miezi nane ya mkataba ili hali ni used atabaki na pikipiki chakavu
 
Habari nina pikipiki Used ina mwaka mmoja.

Natafuta kijana wa kumpa mkataba Awe ana nipa Elfu 10 kwa siku.

Baada Ya miezi nane nitampa kadi.

Eneo liwe Dar.
Pikipiki used halafu 10000 kwa siku mkuu mkataba miezi 8?? Si atamaliza huku na yeye imebaki chakavu?.
Eidha inabidi hesabu iwe 8000 kwa huo mkataba wa miezi 8 au kama ni 10000 upunguze miezi ya mkataba.
Kama utapunguza vigezo hapo juu tuwasiliane nina vijana ambao pia maweza kuwa mdhamini wake akachukua chuma hiyo apige kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshapata mbona na ameshaanza kazi....
 
Hivi pikipiki mpya boxer au King lion mkataba ni sh ngapi? Na kwa muda gani?
 
Natafuta Pikipiki Ya mkataba niko dar au kazi yoyote inayohusika na Pikipiki 0756163395
 
Back
Top Bottom