Natoa elimu kuhusu Crypto currency

Natoa elimu kuhusu Crypto currency

booker T washington

Senior Member
Joined
Mar 27, 2016
Posts
104
Reaction score
36
Altcoin ni coin zingne tofauti na btc, yaan sarafu ndogo ndogo au nyingne tofauti na btc

Coin ni sarafu yaweza kuwa alts au btc...maana zote zinaitwa coin
Image ya btc ni sarafu lakin hisiyoshikika

Token ni pale coin inapokuwa kwenye hatua za ICO daah labda niseme kama unauza mahindi mabichi na kila hindi ukaliuza kwa sh mia tuseme
Sasa yale mahindi yote tutayaita token ni zile idadi ya ya pesa itakayouzwa kwa inveators
WhatsApp +255656202162
 
Duh nimetoka kapa, Tango halielezi hiyo ni nn? Ni biashara au ni upatu? Kwanini imetoa matangazo mengi? Hizo. ni dalili za upigaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom