Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,516
- 46,377
siku USA ikiporomoshwa kutoka super power,nitagawa unga dar nzima.
Endelea kuota njozi za mchana,utakufa ukiiacha U.S bado ni Super Power. Unategemea Mchina ndio awe Super Power na Uchumi wake wakutegemea Export tuu huku Household yake ikiwa poor kabisa,Mchina huyu huyu anaeiba Copy and Paste Technology za Marekani ndio awe Super Power na mpaka inafikia hatua anaiba Technology then anapakia kwenye Ndege za Abiria kupeleka kwake na kusababisha Maisha ya watu wasiokuwa na hatia kuwa hatarini/kupotea,refer Malaysia Airline.