NATO sees no sign of Russian pullback from Ukraine border

hawa nato ni machizi sana yaani wanataka urusi itoe jeshi lao ukrain ili wakafanye mazoezi wao,
 
Wana ndoto za mchana!

Kwan Russia anakipi cha kuweza kuwazuia NATO and USA kufanya yao hapo Ukraine??
Tuweni wakweli,Russia ataumia!
Juzi umesikia Putin alichomwambia Obama kwenye phone??
 
Umeongea vizuri tuweni wakweli. Mbona kila siku NATO wanalalamika tu? kwanini wasiingie uwanjani? Russia huwa anatekeleza alafu haongei sana. Sasa kama wanaona hajaondoka si aende akawatoe? hapo ndipo utaona muziki wake. Hivyo vinchi vyote vya ulaya ni vioga sana. tena ukizingatia Russia ana kumbola za kupiga kutokea huko kwake ndo hawawezi kabisa kumchokoza.
 
Haya makombola marekani na NATO hawana?? Mkuu nazani unaelewa s
super power country ni Nani!!
Mbili CIA wanaakili sana leo kama tiss,ambao kazi yao ni kung'oa meno tu!!
Russia ana-friend zake amboa ni iran,Korea kasikazin na china! Lengo la Russia ni kuichokoza USA waingie vitani,zen marekani aporomoke kutoka u super power na china akamate no one!
Marekani ameshituka, ndo maana anawekewa economic and visa sanctions ambazo Russia analia kila siku!!
Kingine mkuu wangu unazani hawana vifaa vya kuzuia hayo makombola??
Na mwisho kabisa twende kwenye vifaa ambavyo NATO na USA wanavyo to compare na Russia!!
 
Kwan Russia anakipi cha kuweza kuwazuia NATO and USA kufanya yao hapo Ukraine??
Tuweni wakweli,Russia ataumia!
Juzi umesikia Putin alichomwambia Obama kwenye phone??
majeshi takriban 40,000 ya mrusi yako umbali wa masaa mawili kufika mji mkuu wa kiev,ukraine(km 50),sasa wametega,wakiona dalili za Nato kuingia kiev,wanaingia kiev,na wakiingia Nato watawatoa vipi?
 
Russia kidume kweli kweli, jamaa wanapiga keleleeeeee mwenzao yuko kimya wala hajibizani nao hata mara moja. Yuko busy ku strengthen ties zake na Crimea na dominance!!!
 
Majeshi au wanajeshi?? Maana sizan kama kuna majeshi 40,000
Kingine mkuu wangu kua na wanajeshi karibu na Kiev sio tatxo
Kumbuka siku hizi wenzetu wanatumia advanced tech ambayo yaweza kuwang'oa hao wanajeshi wako 40,000 within a month!!
 
Haya makombola marekani na NATO hawana?? Mkuu nazani unaelewa s
super power country ni Nani!!
Mbili CIA wanaakili sana leo kama tiss,ambao kazi yao ni kung'oa meno tu!!
Russia ana-friend zake amboa ni iran,Korea kasikazin na china! Lengo la Russia ni kuichokoza USA waingie vitani,zen marekani aporomoke kutoka u super power na china akamate no one!
Marekani ameshituka, ndo maana anawekewa economic and visa sanctions ambazo Russia analia kila siku!!
Kingine mkuu wangu unazani hawana vifaa vya kuzuia hayo makombola??
Na mwisho kabisa twende kwenye vifaa ambavyo NATO na USA wanavyo to compare na Russia!!
ukiachia makombora ya kinyuklia..russia wana airdefence system S-400 (achana na ile S-300),hii system inaweza kudungua makombora na ndege za stealth fighter kuliko system yeyote waliyo nayo Nato.

Pia kuna ile ISKANDER ni supersonic missile ina speed kuliko sauti,hakuna mfumo wa ulinzi unaweza dungua kombora hilo.
 
Russia kidume kweli kweli, jamaa wanapiga keleleeeeee mwenzao yuko kimya wala hajibizani nao hata mara moja. Yuko busy ku strengthen ties zake na Crimea na dominance!!!

Kidume kivipi??
Mbona hajawawekea vikwazo USA and EU???
 
Majeshi au wanajeshi?? Maana sizan kama kuna majeshi 40,000
Kingine mkuu wangu kua na wanajeshi karibu na Kiev sio tatxo
Kumbuka siku hizi wenzetu wanatumia advanced tech ambayo yaweza kuwang'oa hao wanajeshi wako 40,000 within a month!!
unajua ukitaka kumweza marekani unamwahi kabla yeye hajamobilise force na ndicho mrusi kafanya,kwa kusogeza askari pale inampa mrusi mda mfupi wa kurespond kuliko marekani ambae kwanza itabidi asogeze askari.na kama mrusi akitake position kiev,unamtoaje?maana hiyo imeshakua streetfighiting.
 
Today i'm not in a fighting mood, so I don't want to argue with anyone!!!!

kilichokufanya uandike Russia kidume ni nini??? Kama huna mood za kujibu na kupambanua hoja???
 
siku USA ikiporomoshwa kutoka super power,nitagawa unga dar nzima.
 
Kidume kivipi??
Mbona hajawawekea vikwazo USA and EU???
Given the EU dependence on Russia for energy supplies, a whole European continent could be plunged into darkness — literally — overnight at Putin’s command.- Likewise, the very tenuous US economy could be sent into a dive were Russia and China to collude in-selling US Treasuries. -If Russia then stopped payment on all outstanding loans to the West and withdrew all cash from Western banks, there would be significant economic damage. Even worse, if Russian initiative completely-terminated the use of the US dollar-as the reserve currency that it’s been since 1944. -As the-largest exporter of oil and gas-in the world, Russia could probably collapse the petrodollar by itself, but if it could get its ally China to join in, America would become a Third World Country.
 
siku USA ikiporomoshwa kutoka super power,nitagawa unga dar nzima.
kuna superpower kama Roman empire,persia empire,british empire zilikua zinadumu hadi miaka zaidi ya 300 lakini hatimae zilianguka.marekani haijafika hata miaka 100.
 
Given the EU dependence on Russia for energy supplies, a whole European continent could be plunged into darkness — literally — overnight at Putin’s command.- Likewise, the very tenuous US economy could be sent into a dive were Russia and China to collude in-selling US Treasuries. -If Russia then stopped payment on all outstanding loans to the West and withdrew all cash from Western banks, there would be significant economic damage. Even worse, if Russian initiative completely-terminated the use of the US dollar-as the reserve currency that it’s been since 1944. -As the-largest exporter of oil and gas-in the world, Russia could probably collapse the petrodollar by itself, but if it could get its ally China to join in, America would become a Third World Country.

Unachekesha america could become a third world country?? Labda america ya Tanzania!!!
 
Back
Top Bottom