Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,504
- 8,253
ha ha ha ha Mkuu unawapenda Ulaya enh!?
Sio kama wewe ulivyo na mahaba na warusi
ha ha ha ha Mkuu unawapenda Ulaya enh!?
Ni kweli mkuu, tena sio hapo tu, zipo sehemu nyingi tu ambapo US wamewahi kushindwa.
Sio kama wewe ulivyo na mahaba na warusi
Hapo nimekujibu uongo ulioandika kwenye original reply yako kuwa US anamdai China wakati China ndiyo anamdai US Trillion of dollars $.Hizo pumba nyingine nitakujibu!!
Ulichoandika wewe sio nilichokiandika mimi. unajua kabisa nimeshakueleza Kuwa nimemaanisha China Inaidai Marekani."2013 Na ni imani yangu China hawezi kuisapoti Russia kama itatokea Vita. KWani China ina deni kubwa la pesa kwa US. Na kama mchumi China ingependa deni lirudi"
hata mimi nampenda Putin.
endapo ikitokea vita kuna nchi za ulaya zitafutwa kabisa hapa duniani, na kama zisipifutwa huo umasikini wake utakuwa balaa.
Mimi nina mahaba na Amani hapa duniani, US ndie mchafua amani duniani.
Hawa Russia sanctions kidogo tuu wako chali ile mbaya and their Economy is like in free fall now,their Russian ruble down almost 30% this yr,na oil prices ilivyoanguka sasa will be a disaster to their Economy,investors sasa wanakimbiza their capitals out of Moscow sasa serikali inaanza intervening the market kwa nguvu to save their asses..Moscow hana ujanja itabidi wakubali ya west la sivyo recession will do the job..hayo makombora without Economy are nothing.
Ushabiki huo. Russian wana strong economy. Ndiyo, hizo sanctions zitaumbisha kidogo sana uchumi wa russia. Kwa sababu russia ana wapambe wengi anaoweza kufanya nao biashara. Au wewe unafikiri mpaka apige pige kelele kama NATO na USA? yeye anakwenda kimya kimya na anajua anachokifanya.
Kama kweli yeye ni shabiki wa side A basi wewe ni shabiki wa side b, ni kweli uchumi wa russia ni mzuri ukilinganisha na tanzania, lakini hapa ni russia vs US sasa utasemaje russia ana uchumi imara! Umejaa ushabiki hadi kusema ukweli unakuwa mzito! Haiwezekani suala la US vs Russia ukasema eti Russia ana uchumi imara wakati kwa factor ya uchumi US ana uchumi mkubwa mara nne zaidi ya russia, sema tu marekani ana uchumi imara hata kama ni chungu kwako lakin ndo ukweli na ukweli utakuweka huru, huru kwelikweli. Hata ukisema russia vs europe germany pekee anazidi uchumi wa russia, haya sema hivi kiuchumi russia hayuko vizuri umesikie...
mkuu, naona wewe ni mshabiki wa side C. I better talk to mshabiki wa side B.
Kuwa mpole, husiingilie yasiyokuhusu. kama una hoja ungeniuliza.
Hahaha ukitaka uwe muongo mzuri jifunze kuwa na kumbukumbu, umeshajitabanaisha toka mwanzo wewe una mahaba na putin, sasa unaambiwa unaruka oooh nina mahaba na amani, tunza kumbukumbu ili uwe muongo wa ukweli na sio kuwaambia watu wanapenda ulaya wakat huna ushahidi bali hisia zako tu na mahaba yako kwa putin
Yangekuwa hayanihusu nisingekuwa na access ya kuingia jukwaa hili, hoja ipo ila unajaribu kukwepa kama unavyojaribu kukwepa kusema russia hana uchumi imara ila we unasema russia ana uchumi imara (kumbuka ni russia vs US)
Hahaha ukitaka uwe muongo mzuri jifunze kuwa na kumbukumbu, umeshajitabanaisha toka mwanzo wewe una mahaba na putin, sasa unaambiwa unaruka oooh nina mahaba na amani, tunza kumbukumbu ili uwe muongo wa ukweli na sio kuwaambia watu wanapenda ulaya wakat huna ushahidi bali hisia zako tu na mahaba yako kwa putin