Nato, nato,nato

GAGL

JF-Expert Member
Aug 5, 2010
390
395
NATO ni jumuiya ya kujihami ya mataifa ya magharibi yaani ulaya. Na sasa marekani inataka kujiunga. Swali: hawa wanajihami dhidi ya nani? Silaha nzito, nyuklia, madege ya ajabu, mabomu ya kutisha, misuli ya ajabu huko bahari kuu nk, haya yote wao ndo wanamiliki na hawataki wengine wamiliki. Sasa wanamuhofia nani katika kujihami huku? Kweli hawa hamnazo, just another military propaganda for political and economic oppression against third world countries.
 
Mkuu fanya research kidogo. Habari kuhusu NATO zimejakaa kila mahali kama mchanga wa bahari. For your info: USA is a member!
 
At JF Starting a thread is as easy as taking a spoon into a mouth but attracting serious contribution requires more than trusting your brain, just go deeper to make sure your brain doesn't fool you. Find information about the topic if possible include a source.
 
Wenye chuki huwa hawana details. Ajabu kweli, aisee hivi hujui US ni member "Mkuu" wa NATO? Labda nikuulize unamfahamu Rais wa Kenya?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom