NATO na Ugaidi

NATO na Ugaidi

Makonyeza

Member
Joined
Feb 2, 2020
Posts
72
Reaction score
261
Kwa mujibu wa Putin, NATO ni kikundi cha magaidi tu. NATO ni Umoja wa nchi za Ulaya(ikijumuisha na Marekani) ambazo ndizo zilizo mstari wa mbele kushutumu wengine kwa Ugaidi.

Hii ni uthibitisho tu kwamba msamiati wa Ugaidi upo, na magaidi wapo, lakini mara nyingi mtu au nchi kumuita au kumnasibisha mwingine na Ugaidi hutegemea na uhusiano, yaani unamchukuliaje mtu huyo (altitude).

Wazungu wanakamsemo wanasema 'If you want to kill a Dog give it bad name', yaani, kama unataka kumuua Mbwa mpe Jina baya tu, yaani umnasibishe na yasiyopendeza, jibwa, Nyakuzi, Dokozi na mengineyo.

Kumpa Jina baya usiyempenda huwa ni sababu ya kuhalalisha mabaya utakayomfanyia, nani analipenda jibwa jizi, Dokozi au lenye kukamata kila leo mifugo yako.

Eti leo Putin anawaita NATO magaidi!! [emoji23] [emoji23] , kirefu cha NATO ni NORTH ATLANTIC TREATY ORGANIZATION, kwa Kiswahili wanaojiita "Muungano WA kujihami wa nchi za Ulaya", lakini yeye Putin ameiita 'NORTH Atlantic Terrorists Organization', akimaanisha Muungano wa kujihami wa Magaidi wa nchi za Ulaya (Kaskazini mwa bahari ya Atlantiki)

Funzo: kwa hiyo kumbe ni kweli, shutuma za Ugaidi hutumika kama mjeledi kuwaadhibu usiowapenda.

Tuna Mengi sana ya kujifunza kutoka Russia na Ukraine.

_20220227_060315.JPG
 
BREAKING: It’s almost daylight on day 4 of the Russian attack and I’m thrilled to report that Volodymyr Zelenskyy is still the President of Ukraine. Remember when Putin said he’d do it 3 hours? Not on Zelenskyy’s watch.

Acha taarabu
 
Yupo sahihi... Deep state wanaujua ukweli...
 
Kwa mujibu wa Putin, NATO ni kikundi cha magaidi tu. NATO ni Umoja wa nchi za Ulaya(ikijumuisha na Marekani) ambazo ndizo zilizo mstari wa mbele kushutumu wengine kwa Ugaidi.

Hii ni uthibitisho tu kwamba msamiati wa Ugaidi upo, na magaidi wapo, lakini mara nyingi mtu au nchi kumuita au kumnasibisha mwingine na Ugaidi hutegemea na uhusiano, yaani unamchukuliaje mtu huyo (altitude).

Wazungu wanakamsemo wanasema 'If you want to kill a Dog give it bad name', yaani, kama unataka kumuua Mbwa mpe Jina baya tu, yaani umnasibishe na yasiyopendeza, jibwa, Nyakuzi, Dokozi na mengineyo.

Kumpa Jina baya usiyempenda huwa ni sababu ya kuhalalisha mabaya utakayomfanyia, nani analipenda jibwa jizi, Dokozi au lenye kukamata kila leo mifugo yako.

Eti leo Putin anawaita NATO magaidi!! [emoji23] [emoji23] , kirefu cha NATO ni NORTH ATLANTIC TREATY ORGANIZATION, kwa Kiswahili wanaojiita "Muungano WA kujihami wa nchi za Ulaya", lakini yeye Putin ameiita 'NORTH Atlantic Terrorists Organization', akimaanisha Muungano wa kujihami wa Magaidi wa nchi za Ulaya (Kaskazini mwa bahari ya Atlantiki)

Funzo: kwa hiyo kumbe ni kweli, shutuma za Ugaidi hutumika kama mjeledi kuwaadhibu usiowapenda.

Tuna Mengi sana ya kujifunza kutoka Russia na Ukraine.

View attachment 2132543
NATO ni mashoga
 
Back
Top Bottom