Catherine JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 1,261 Reaction score 764 Nov 30, 2012 #21 vivian said: kwa taarifa yako huyu mwanaume anatuchanganya. naomba kuanzia leo Mentor tusijuane hata kwa che mbe sawa? Am so irritated Click to expand... heeeeee!!!! na mie nahisi kushindwa ati.
vivian said: kwa taarifa yako huyu mwanaume anatuchanganya. naomba kuanzia leo Mentor tusijuane hata kwa che mbe sawa? Am so irritated Click to expand... heeeeee!!!! na mie nahisi kushindwa ati.
Catherine JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 1,261 Reaction score 764 Nov 30, 2012 #22 Mentor said: Jamani jamani.... vivian, wewe si uliondokaga ukaniacha peke yangu wewe! iweje leo nikuchanganye na my one and only pornstar Catherine??! iweje tu... Click to expand... khaaaaaaaa!!!! ngoja nisign out. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mentor said: Jamani jamani.... vivian, wewe si uliondokaga ukaniacha peke yangu wewe! iweje leo nikuchanganye na my one and only pornstar Catherine??! iweje tu... Click to expand... khaaaaaaaa!!!! ngoja nisign out.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,343 Reaction score 111,609 Nov 30, 2012 #23 Vipi una ile gundi ya kuzibia pancha ya OKO?
vivian JF-Expert Member Joined Nov 2, 2009 Posts 1,825 Reaction score 1,307 Dec 1, 2012 Thread starter #24 watu8 said: Vipi una ile gundi ya kuzibia pancha ya OKO? Click to expand... ha ha ha ha ha Enzi hizo, Mabasi ya Mikoani ni Leyland na ule mlio wao ule.
watu8 said: Vipi una ile gundi ya kuzibia pancha ya OKO? Click to expand... ha ha ha ha ha Enzi hizo, Mabasi ya Mikoani ni Leyland na ule mlio wao ule.