Lilambalyakwilole
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 1,099
- 649
Mwenye kujua anisaidie, lugha ya taifa ya Uganda ni ipi?
kiganda japo zipo lugha za makabila mengine kama runyoro(kinyoro),rutoro(kitoro) na runyankole(kinyankole)mwenye kujua anisaidie, lugha ya taifa ya uganda ni ipi?
kiganda japo zipo lugha za makabila mengine kama runyoro(kinyoro),rutoro(kitoro) na runyankole(kinyankole)
Hapana mkuu.. Luganda ni lugha ya kabila la Baganda..Luganda ndo lugha yao ya taifa.
Kiganda haiwezi kuwa lugha ya taifa, in a maaa Wanyankole, Watoro, Wanyoro na makabila mengine utawalazimisha kutumia Kiganda kwa kuwa ni lugha ya taifa.kiganda japo zipo lugha za makabila mengine kama runyoro(kinyoro),rutoro(kitoro) na runyankole(kinyankole)
Mwenye kujua anisaidie, lugha ya taifa ya Uganda ni ipi?[/QUOTEr
Hawa jirani zetu bwana wana mambo kweli kweli, Lugha rasmi inayotambulika hata kikatiba ni kiingereza, sasa hapo kwenye lugha rasmi nyingine ya pili ndo kasheshe linapokuja, miaka ya nyuma kabisa mfano wakati wa nduli Amin, kiswahili kilikuwa kikizungumzwa sana na utawala wa Amin ukakifanya kiswahili kuwa lugha rasmi pamoja na kiingereza, sasa baada ya kuondoka nduli watawala waliofuata wakakiondoa kiswahili na walitaka lugha ya Baganda au Luganda kuwa lugha rasmi pamoja na kiingereza kutokana na kwamba Kabila la Wa-baganda ndo wengi zaidi uganda (asilimia 18-19 ya waganda wote),basi ikaonekana kuwa lugha yao ndo rahisi zaidi kukieneza kwani tayari kina wazungumzaji wengi kuliko lugha za makabila mengine, sasa issue ikawa kwamba yale makabila mengine hasa yale ambayo si ya kibantu yanayopatikana maeneo ya kaskazini, kaskazini magharibi na mashariki ya Uganda hayakifagilii sana hicho ki-Luganda.., wao zaidi wanatumia kiswahili na kiingereza hivyo kiluganda bado ni nadra sana kukisikia kikizungumzwa maeneo hayo ila kwenye maeneo mengine ya Uganda kiluganda ndiyo lugha inayozungumzwa sana..
Hadi miaka ya hivi karibuni nadhani ilikuwa ni mwaka 2005 bunge la Uganda kwa shingo upande liliridhia kiswahili kuwa lugha rasmi tena baada ya kuona kwamba hakuna jinsi, kwa sababu kiswahili kimekuwa ni kama maji usipoyanywa, utaogea au utapikia..
Kiganda haiwezi kuwa lugha ya taifa, in a maaa Wanyankole, Watoro, Wanyoro na makabila mengine utawalazimisha kutumia Kiganda kwa kuwa ni lugha ya taifa.
Official language ni Kingereza.inaonekana hawa jamaa hawana lugha ya taifa ila wana lugha rasmi(official languages)
Ndivyo ilivyo kwa sasa...kwhyo hawa jamaa hawana lugha ya taifa(national language), ila wana lugha rasmi(official languages) ambazo ni kiganda na kiswahili. au sio
Official language ni kiingereza.Mwenye kujua anisaidie, lugha ya taifa ya Uganda ni ipi?