National Institute of Transport (NIT) -Special Thread

andy90

JF-Expert Member
Mar 5, 2014
270
105
STUDENTS ACADEMIC YEAR 2018/2019

Naomba kuwapongeza wale wanafunzi wote mliochaguliwa kujiunga na chuo cha Taifa cha usafirishaji NIT.
Natumia fursa hii kuwakaribisha chuoni; pia kwa ambao hamfahamu location ya chuo kiko Dar Es Salaam-Mabibo

Mwisho kabisa chuo kitakapo anza usajiri rasmi tutaendelea kuwapa Updates
Kama wewe ni mgeni au kuna kitu kinakutatiza usisite kuuliza hapa wadau tupo tutakusaidia.

Nawasilisha!
 
wakuu mimi shida yangu nahitaji kujua katika course ya IT kwa kila semister tutasoma vitu gani kuanzia first year had last year kwenye tovuti yao sijaona

shukurani
 
UDOM FIRST YEAR 2018/19 WHATSAPP GROUP:

Kama umechaguliwa Kujiunga na masomo katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) bofya link hapo chini tukutane pamoja ili tuweze kusaidiana Mambo mbalimbali muhimu unayotakiwa kuyajua wakati unaenda kuripoti UDOM.

UDOM FIRST YEAR

Saidia kusambaza Link ili kuwafikia walengwa.

mkuu kwa vile huu ni uzi wa NIT ungekuja na group lake ingependeza zaidi any way sio mbaya lakini
 
STUDENTS ACADEMIC YEAR 2018/2019

Naomba kuwapongeza wale wanafunzi wote mliochaguliwa kujiunga na chuo cha Taifa cha usafirishaji NIT.
Natumia fulsa hii kuwakaribisha chuoni; pia kwa ambao hamfahamu location ya chuo kiko Dar Es Salaam-Mabibo

Mwisho kabisa chuo kitakapo anza usajiri rasmi tutaendelea kuwapa Updates
Kama wewe ni mgeni au kuna kitu kinakutatiza usisite kuuliza hapa wadau tupo tutakusaidia.

Nawasilisha!
Kwa kawaida chuo huwa kinaanza tareh ngap usajil wa wanafunz 1st year??
Halaf wanafunz inatakiwa alipe angalau asilimia ngap ya fee kabla hajariport chuo??
Halafu ile joinning Instructional sijaelewa kuwa ni print nijaze then siku ya Ku_report nende Nayo au ??
 
Kwa kawaida 1st year huanza kusajiliwa kuanzia mwisho wa mwezi wa 10 au mwezi wa 11 mwanzoni, so pindi itakapotangazwa rasmi tutafahamishana

Kuhusu ada kwa student level ya degree ni 1500000 kwa mwaka, hivyo kama wewe si mnufaika wa bodi utalazimika ulipe 800000 ili uweze kusajiliwa chuoni

Kuhusu join instruction yenyewe ni document ambayo haijazwi ila inatoa tu maelezo ya ada na taratibu za usijir znavyokuwa. Ila kuna document znazoambatana na joining instruction ambazo ndizo haswa zinapaswa kujazwaa, znaweza kuwa ni form za afya N.K

Back
Top Bottom