Mahmoud Qaasim
JF-Expert Member
- Nov 3, 2007
- 923
- 264
Nashindwa kuelewa ni kipi kinatufanya waTanzania tunakosa kuelewa kwamba kujitangaza na kujinasibishwa na Jambo zuri/kubwa ni manufaa sana. Kenya wamejitangaza vyakutosha. Nasikia pia familia ya Obama iliishi sana Zanzibar wakati wa Ukoloni na Ndiko walikosilimishwa na kupatikana Baraka ya Kiislam katika Familia yao. Sasa sioni kwanini nasi tusingejitangaza kwa hilo.
Changamoto : Fikirini Chanya wandugu.
Changamoto : Fikirini Chanya wandugu.