National holiday in Kenya on Obama victory | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

National holiday in Kenya on Obama victory

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by Lusajo, Nov 5, 2008.

 1. Lusajo

  Lusajo JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2008
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 451
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nairobi, Nov 5 (DPA) Kenyans took to the streets early Wednesday morning to celebrate Barack Obama’s election to the White House as the nation’s president declared a national holiday.In downtown Nairobi and in Kibera, one of Africa’s largest slums, people dressed in suits on their way to work joined those who had stayed up all night watching the election returns to dance and chant Obama’s name.

  Similar excited scenes took place in Kogelo, western Kenya, where many of Obama’s Kenyan relatives had gathered at the home of his grandmother, Sarah Obama.

  Police had locked out the media and well-wishers from the Obama home, but the family was expected to make a statement about the victory later in the morning.

  Kenyan President Mwai Kibaki congratulated president-elect Obama on his victory and designated Thursday as a public holiday for Kenyans to celebrate the “historic achievement.”

  “This is a momentous day not only in the history of the United States of America, but also for us in Kenya,” Kibaki said in a statement.

  “The victory of Senator Obama is our own victory because of his roots here in Kenya. As a country, we are full of pride for his success.”

  Obama’s late father was Kenyan, although he abandoned his son when he was only two years old.

  Despite the fact he has only visited Kenya a handful of times, Obama is considered a hero in the East African nation.

  Many Kenyans feel that while having an African-American in the White House may not bring concrete change for Africa, it will bring a new self-respect for black people everywhere.

  “In colonial times black people were considered unimportant,” said Joseph Mjomba, a 21-year-old student. “Now we have a black man in the White House.”

  MY TAKE: WAS THIS NECESSARY au ndio uvivu wetu wa-Afrika?
   
 2. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2008
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Upuuzi tu! Hatuhitaji siku ya mapumziko kusherehekea ushindi wa Rais wa Marekani.

  Kama kweli Kibaki anaipenda Kenya na kujisikia fahari kuwa Mkenya mbona aliitumbukiza kwenye mauaji ya kipuuzi Desemba mwaka jana?? Hata kama tunafurahia jambo hatutakiwa kuruhusu hisia na miwashasha yetu (emotions) ikae juu ya busara. Hapa kama kweli Kibaki katoa siku ya mapumziko kwa nchi ambayo inatakiwa kuongeza muda wa kufanya kazi ili kuziba mashimo aliyosababisha yeye, sitakosea hata kidogo na sitaona aibu kumuita mpuuzi wa mwaka 2008!
   
 3. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,438
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Wanadhani Obama atasiaidia Kenya kwa kuwa Rais wa Marekani!! Ni upuuzi mtupu huu
   
 4. AbdulKensington

  AbdulKensington Member

  #4
  Nov 5, 2008
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waache wenzetu wafurahi...kwa mila za ki-afrika mtoto ni wa baba kwa hio Obama ni Mkenya!
   
 5. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,438
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Angegombea uRais wa Kenya basi..!!
   
 6. Lusajo

  Lusajo JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2008
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 451
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Inaweza kuwa ni move ya kisiasa, yaani unaangalia nini watu wanataka kwa muda huoo na ndio unawapa.
   
 7. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #7
  Nov 5, 2008
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Katika vitu vya kijinga africa(kenya)imejionyesha kuwa ni ya kijinga ni hili basi....
  huwezi kusimamisha production nchi nzima kwa ajiri ya kusherekea uchaguzi wa nchi nyingine...na wakenya kuwa critical namna ile nao wamekubali kufanya hilo...

  Tunaelekea wapi...hivi ndio tunaenda kusimama uko umoja wa mataifa tukisema tunaweza wakati muda tunaupteza katika..mambo kama haya....no no huu ni uppuzi kabisa...hata wao wamarekani sijui kama watafanya public holiday.
   
 8. Lusajo

  Lusajo JF-Expert Member

  #8
  Nov 5, 2008
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 451
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Public holiday marekani!! ya niniii!! kashachaguliwa kazi zinaendelea kama kawaida
   
 9. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #9
  Nov 5, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Hizi habari ni za kweli?
  .
   
 10. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #10
  Nov 5, 2008
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Lazydog
  Mimi niko Nairobi and i confirm it is 100% true!! kama unaweza access Nation Media website you might be able to get it!!!
   
 11. RR

  RR JF-Expert Member

  #11
  Nov 5, 2008
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,719
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  I wish it weren't true, but thats the way it is.
   
 12. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #12
  Nov 5, 2008
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Whats with all this crap, Kenyans are just celebrating one of their own being in the helm of the highest power in the world. Mbona msiseme Ghana kapewa siku mbili za kusheherekea ushindi wa Obama. Kenyans have the right to celebrate his victory than any country except America and Hawaii, its one of their own for crying out loud. If Kikwete didnt give y'all a holiday, just be contented with your crappy saba saba. AM OUT
   
 13. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #13
  Nov 5, 2008
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hivi muungwana JK sijui KJ anakwenda lini US kujitambulisha kwa Obama? Maana kwa kupenda safari...sitashangaaa nikisikia siku 6 US za kujitambulisha gggrrrrrrrrrrrrrrrrr
  Hivi ile hongera ya copy&paste toka kwa muungwana kwenda kwa Obama imeshatoka?
   
 14. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #14
  Nov 5, 2008
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,435
  Likes Received: 1,016
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa transit Nairobi asubuhi ya leo, kweli jamaa wanastahili sikukuu, nilivyoshuka jana tu niliona hali hiyo binafsi nawaunga mkono. Wakenya wmechizika sana kuhusu Obana na kuweka tofauti zao pembeni na kumwombea Obama. Obama ni zaidi ya kuwa raisi wa Marekani na inawezekana pia ubaguzi wa rangi, kabila, koo na dini vinaweza kuweka pembeni na mtu kupewa fursa ya kuongoza.

  Nikirejea alichosema Obama " if happen in America why not else where in the world, Britain or France". Kwanini isitokee Bongo au Kenya, ukifuatilia historia ya Obama inaonyesha kabisa jamaa hakutoka katika familia bora na ukoo wake hakuna aliyepata kuwa mwanasiasa wa calibre yake tofauti na huku kwetu kila kiongozi analazimisha awe kiongozi.

  Wamarekani wameonyesha na sasa ni zamu ya yetu kujifunza kutoka kwao.
   
 15. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #15
  Nov 5, 2008
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,312
  Likes Received: 5,600
  Trophy Points: 280
  Kama nawaona watani wa jadi.................
   
 16. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #16
  Nov 5, 2008
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Na sie Watanzania ni Donge tu. Yetu yametushinda na tunaanza kuangalia ya wenzetu. Hata wakifanya Public Holiday siku mbili bado kiuchumi hatutawafikia. Wanatuzidi kwa vitu vingi tu na sasa Kenya iko maarufu sana kwani TV nyingi zimeonyesha Kenya. Hakuna tangazo la bure la Kenya na tena Kubwa hasa kama hili.
  Naunga mkono wanaosema kuwa, Obama anaweza kuuwa hata ukabila Kenya. Ila sisi ndiyo tutabaki na AMANI yetu, EPA yetu, Meremeta yetu, IOC yetu, Zanzibar yetu, Muungwana wetu, Madini yetu, mbuga za wanyama nk but what we get from it??
   
 17. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #17
  Nov 5, 2008
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  It is not bad... Wa-kenya walikesha kwenye television na kwa vyovyote vile hata wangekwenda ofisini ingekuwa sawa tu na kuwa majumbani kwao au hata kuwa pale "Florida" - ya nairobi!
   
 18. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #18
  Nov 5, 2008
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  luv your post man, imenifurahisha kinyama, waambie wenzetu.. This is a case of the pot calling the kettle black.
   
 19. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #19
  Nov 5, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  Sikonge, nami nimeanza kuona uzuri wa "move" aliyoifanya Kibaki. Sio Wamarekani pekee watakao sikia habari hii, bali nchi nyingi wataona hii ni habari moto ya kuwekwa kwenye vyombo vya habari. Japo wengine watafanya hivyo kwa kuona hiki ni kichekesho, Kenya itakuwa imefanikiwa kujitangaza. Celebrities wengi USA wametumia hii mbinu wakifanya "stunts" kupata publicity.

  Imagine wakenya wakitumia pia wasaa huu kutangaza vivutio vya mbuga zao. Wenzetu wanatengeneza bond na kuwavutia wamarekani wengi kuja kutembea Kenya. The more they see Kenya on their media, the better it is for Kenya tourism. Now, here is the thing - serikali ya sisi M itashindwa kuunga bodi, kuwavutia waje pia Bongo kabla hawajarudi?

  .
   

  Attached Files:

 20. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #20
  Nov 5, 2008
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ndiyo hivyo, naona na taifa kubwa kama wajapani wanachangamkia deal ikiwa moto.
  Jana hiyo hiyo kuna shirika la ndege la Poland waliokuwa wamesitisha trip za ndege zao kubwa kwenda kenya imebidi waanzishe ghafla safari za nairobi.
  Tuwaache jarani zetu wafurahie jamani.
   
Loading...