National debt: Hatunywi sumu wala hatujinyongi!

PRODA LTD

JF-Expert Member
Oct 20, 2016
1,005
2,000
National debt: Hatunywi sumu wala hatujinyongi!
According to the central Bank of Tanzania, the national external debt stock reached $16.4 billion as at the end of October, being an increase of $7.8 million from the amount recorded during the preceding month.
On an annual basis, the stock of debt was $1.03 billion higher than the amount recorded at the end of the corresponding period in 2015 mainly due to new disbursements.
Acheni wa some namba .......!.
 

Jodeo

JF-Expert Member
Mar 10, 2015
1,183
2,000
And there has never been any actions to repay it!!! Country led by be-headed people.

They have stomachs though!
 

Utotole

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,590
2,000
Wadau wanadai deni kuongezeka ni dalili njema kwa sababu inaonyesha kuwa nchi yetu pendwa inapendwa, inaaminika na inakopesheka...
 

mzamifu

JF-Expert Member
Mar 10, 2010
4,879
2,000
Tunakusanya madeni bodi ya mikopo. Dawa ya deni ni kukopa au kulipa?
 

Mwelewa

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
2,356
2,000
Tunakopa sana.....halafu tunachokopa tunaiba tunaenda kuficha kule tulipopewa. Hatari sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom