fafanua mbona utoi taaarifa kamili
Mbona kila benki ipo under B.O.T eye wewe unaona kitu kipya kwa NBC
ikielekea kufilisika kuna taasisi inatwa Deposit Insurance Board chini ya BOT inatake over na kulipa amana za wateja mmesahau greenland bank? so msiwe na shaka haya ndio baadhi ya mapungufu ya utawala wa mkapa, NBC haikutakiwa kubinafsishwa kwa wakati ule.

NBC ikiyumba na serikali inafilisika kabisa, mungu aepushie mbali hili balaa.
Oya hebu tuambieni vizuri!Mnasema kwamba wenye hela huko imekula kwetu?
Unajua uhai wa benki yeyote ni deposit za wateja.Na hizi deposit za wateja zinakuja kwakuwa wateja wana imani na hiyo benki au taasisi ya fedha. Sasa habari kama hizi hata kama za uongo zinaleta panic, wateja wakishapagawa wanaenda kupanga mistari kwenye counter na ATM's kutoka kutoa pesa zao wengine wanaenda VISA n.k. Pesa nyingi ikishatoka hapo ndio panakuwa hapatoshi BOT hapo inabidi i play smart either watoe zile pesa za hiyo benki zilizowekwa BOT ili wateja walipwe huduma ziendelee upepo mbaya upite na imani irudi au BOT wastopishe kwa kuhisi kwamba imani ya wateja haitarudi na kile kidogo kilichopo kitunzwe ili kigawanywe vizuri baadae.
Naona hilo gazeti lililoandika hii habari halikufikiria repucursions za habari kama hizo.
Maximum ya TZS 1.5M tu hata kama ulikuwa na billioni! Kwa hali siku hizi si rahisi benki kufilisika maana BOT iko makini sana. Msijali.