National bank of commerce is under bank of tanzania......

majany

JF-Expert Member
Sep 30, 2008
1,223
579
Iread this morning in one among English written newspaper that NBC is under B.O.T eye while its doors are open........Veeeeeery Bad news....Mweeeh...J.K NYERERE alilia ili kupinga hii benki isiuzwe....
 
fafanua mbona utoi taaarifa kamili

Mkuu benki ikiwa under central bank jua kuna critical problem,kuna tetesi kwamba bank ina strong liquidity problem kiasi kwamba hata mishahara inakua shida kulipana.Kwa hiyo B.O.T huingilia kati na kuiendesha ili ku'resque situation,na hali ikiwa mbaya zaidi,B.O.T WANAWEZA kuikopesha ili iweze ku;meet operations costs..........haijafikia huko nafikiri kwa sasa B.O.T ndiyo wana'manage NBC....SIYO DALILI NZURI LAKINI.
 
Mbona kila benki ipo under B.O.T eye wewe unaona kitu kipya kwa NBC

Kila benki iko under BOT regulation/supervision lakini sio BOT ADMINISTRATION!! Kama benki hiyo iko chini ya BOT administration then benki ina hali mbaya sana na bwana Mafuru will be directly responsible na matatizo hayo.
 
ikielekea kufilisika kuna taasisi inatwa Deposit Insurance Board chini ya BOT inatake over na kulipa amana za wateja mmesahau greenland bank? so msiwe na shaka haya ndio baadhi ya mapungufu ya utawala wa mkapa, NBC haikutakiwa kubinafsishwa kwa wakati ule.
 
wewe acha masihara...
Hao Deposit Insurance wanalipa maximum ya sh milioni moja per head.. yaani per person regardless ya amount na namba ya account ulizokuwa nazo...
so benki ikifilisika na wewe una hela nyingi huko andika maumivu makali :embarassed2:
 
Mbona kila benki ipo under B.O.T eye wewe unaona kitu kipya kwa NBC

Uzuri wa Jf ni kuelimishana...Tuanze hivi kiongozi,benki yeyote huwa inakua na menejimenti yake,yaan kunakua na MD,managers na wengineo,sasa mpaka tunavyoongea,ni kwamba hizo operations zooote,BANK OF TANZANIA ndiyo wanazi manage,na kulingana na B.O.T REGULATIONS AND GUIDELINES,central bank wanaweza hata ku'appoint immediate Managing Director ili ku'settle situation.Kwa hiyo ni kweli kila benki wako under B.O.T,lakini benki ikiwa haina shida,B.O.T wana oversee tu....kukitokea tatizo,hapo ndipo tunakiona klinachotokea NBC...hope u get me right now...
 
ikielekea kufilisika kuna taasisi inatwa Deposit Insurance Board chini ya BOT inatake over na kulipa amana za wateja mmesahau greenland bank? so msiwe na shaka haya ndio baadhi ya mapungufu ya utawala wa mkapa, NBC haikutakiwa kubinafsishwa kwa wakati ule.

mkuu,last month nilikua training pale twin towers kwa Liyumba,wale deposit insurance board wanalipa 'up to 1.5M per person(not per account)...jiangalie,,,hiyo board haitaweza kuwarudishia watu woote kwa benki kama NBC au NMB....
 
Lakini hata kama wakifilisika si lazima watulipe hela zetu au nani anatakiwa atulipe ni serikali au ndiyo tumeishaliwa?
 
Mbona kila benki ipo under B.O.T eye wewe unaona kitu kipya kwa NBC

Ni kweli BAnk zote zinakuwa chini ya BAnk of Tanzania, lakini hii IMEFULIA ! na hivo jicho lote la BoT lipo hapa, maana kuna pesa ya watu nyingi imekopwa na retun yake ni ZERO, mafuru ameifilisi benki hii kwa kukopesha mashosti wake na matokeo yake kuna NON PERFORMING LOANS KIBAO benki imefisilisika CHA KUSIKITISHA HATA FAIDA WANAITAFUTA KWA NGUVU KWA KUPORA KUTOKA KWA MABENKI MENGINE ! aibu sana!
 
Unajua uhai wa benki yeyote ni deposit za wateja.Na hizi deposit za wateja zinakuja kwakuwa wateja wana imani na hiyo benki au taasisi ya fedha. Sasa habari kama hizi hata kama za uongo zinaleta panic, wateja wakishapagawa wanaenda kupanga mistari kwenye counter na ATM's kutoka kutoa pesa zao wengine wanaenda VISA n.k. Pesa nyingi ikishatoka hapo ndio panakuwa hapatoshi BOT hapo inabidi i play smart either watoe zile pesa za hiyo benki zilizowekwa BOT ili wateja walipwe huduma ziendelee upepo mbaya upite na imani irudi au BOT wastopishe kwa kuhisi kwamba imani ya wateja haitarudi na kile kidogo kilichopo kitunzwe ili kigawanywe vizuri baadae.

Naona hilo gazeti lililoandika hii habari halikufikiria repucursions za habari kama hizo.
 
Oya hebu tuambieni vizuri!Mnasema kwamba wenye hela huko imekula kwetu?

ndio kama una vijicent vyako nenda kavihamishe benki yaeleke kufa, lakini uzuri wa hapa kwetu TZ, ni kwamba kuna SMR, STATUTORY MINIMUM RESERVE ambayo benki huwa inaweka benki kuu in case banki inafilisika pesa ile ndio huwa ina rescue hali ile, so usiwe na khofu tuna sheria nzuri sana Tanzania za kulinda fedha ya watu hivo haipotei bure na wote watalipwa kama benki itayumba. Au inaweza kuuzwa kwa Benki nyingine. HAta hivo benki hii si ilinunuliwa na BArclays? wazee wa vicontainer? maana kila kona watu walijilia 10% kwa kujenga vicontna viiiingi aisee bongo bhana! sasa barclays yenyewe inapumulia mashine !
 
Unajua uhai wa benki yeyote ni deposit za wateja.Na hizi deposit za wateja zinakuja kwakuwa wateja wana imani na hiyo benki au taasisi ya fedha. Sasa habari kama hizi hata kama za uongo zinaleta panic, wateja wakishapagawa wanaenda kupanga mistari kwenye counter na ATM's kutoka kutoa pesa zao wengine wanaenda VISA n.k. Pesa nyingi ikishatoka hapo ndio panakuwa hapatoshi BOT hapo inabidi i play smart either watoe zile pesa za hiyo benki zilizowekwa BOT ili wateja walipwe huduma ziendelee upepo mbaya upite na imani irudi au BOT wastopishe kwa kuhisi kwamba imani ya wateja haitarudi na kile kidogo kilichopo kitunzwe ili kigawanywe vizuri baadae.

Naona hilo gazeti lililoandika hii habari halikufikiria repucursions za habari kama hizo.

Hii habari ni ya kweli mkuu, Benki inatetereka si unaona hata mafuru amesimamishwa kazi? sasa wewe unataka vitu vifichwe ili iweje ? nakwambia na wanalazimisha faida aise!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom