Nationa Isurance Corporation(NIC) ni washenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nationa Isurance Corporation(NIC) ni washenzi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by lover, Jan 27, 2012.

 1. l

  lover New Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa wale waliopeleka application zao NIC nasikia zilikua zinawekwa ktk dustbin,ivyo inakuaje mtu amesoma zaidi ya miaka kumi shule alafu chet chake anakitupa ktk dustbin kama akijui alaf anasema anaaply kazi?
   
 2. paesulta

  paesulta JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  una hakika na unayoyasema au ndio mambo ya vijiweni tu.......
   
 3. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  kasema anasikia
   
 4. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  Punguza munkari kaka, jenga hoja mkuu inawezekana una hoja ya msingi ila umeandika kwa jazba sana
   
 5. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Weka vizuri ili tukuelewe halafu tuchangie
   
 6. Myelife

  Myelife Senior Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mie nilipeleka fizicale na ni kweli niliweka ktk dustibin ila haikugonga ubongo wangu kwani nishayaona sana office za serikali, mfano TRA pale nasaco ya zamani, na application za jeshini mwaka juzi
   
 7. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Una ushahidi kwa unayoongea?but kama haukuwa shortlisted cv na vyeti vyako havina kazi tena mkuu.
   
 8. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hapo umeongea
   
Loading...