ya vyumba vingapi?
Iwe na maji kiasi yanayotosha kwa matumizi ya ndani ila yasiwe mengi saaanaa.PiaIsiwe ndogo saaana,
2. Iwe nzuri na yenye mvuto,
3. Isiwe imetumika mno,
4. Isiwe na umeme,
5. Iwe maeneo ya uswazi (cheap),
6. Iwe nyeupe na ndefu,
7. Mpangaji niwe peke yangu,
8. Isiwe na masharti mengi,
9. Nisizuiliwe kutumia huduma za tigo,
10. Iwe katika mazingira ya usafi.
Nyumba nitakayoipata na kuniridhisha kwa haya yote 10 nitafanya mazungumzo ya kuinunua kabisa ili iwe yangu kabisa. Nawasilisha!