Nateswa na tabia hii ya kutamani


Asante
 
Wenzie tunatamani maghorofa na maestate yeye anatamani sketi! Makalio si anayo ya kwake ajitamani?

mjini kunachosha!
kuna vingi tunatamani lakini si kila tamanio lazma litekelezwe. vizuri kama waweza kujicontrol.
 
Wenzie tunatamani maghorofa na maestate yeye anatamani sketi! Makalio si anayo ya kwake ajitamani?

mjini kunachosha!

shangaa mkwe!! ana matamanio ya ajabu huyo. mie natamani mayuro na mapound tu hapa.
 
Usihofu sana..naamini utapata suluhisho
..
 

Imeandikwa; Kwakuwa kila mtu hujaribiwa na tamaa zake mwenyewe,na tamaa ikikukomaa huzaa dhambi na dhambi ikikomaa huzaa mauti
 
Last edited by a moderator:

Mi mwenyewe huwa nakutamani wallah utaniua we mtoto....
 
Idle mind is the house of evil...kuwa busy na productive works, acha kukaa bure fanya kazi upunguze protein hizo zinazo usumbua.
 
Mungu gani alieruhusu kutamani wewe?? Labda mungu wako unaempa ubwabwa na nyama.

Kwa hiyo Mungu aliumba wanawake akawapa uzuri ili tusiwatamani? Mungu wangu ale ubwabwa na nyama kwani mi baniani?
 
 
piga puli mkuu maana unaonekana zege, fuata alichokwambia Albo, 'mkono na dettol' zilipendwa
 
Usiseme tabia ya kutamani sema dhambi ya kutamani........nenda kaombewe hilo ni PEPO.
Ww sio wa kwanza kutamani mm nlikuwa natamani mpaka mate yananidondoka lkn baadae ya kuonana na BWANA YESU mambo ni tofauti kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…