Nyamisangura
Member
- Jan 4, 2018
- 87
- 109
Toka mwaka 2008 mpaka leo ninaendelea na huu mchezo wa pull kila nikitaka kuacha ninashindwa yaani ninarudia,iko hivi siwezi kulala bila pull nikiamka ninapiga pull yaani hata shemeji yenu awepo asiwepo mwendo ni huo huo,sasa nikiwa ninakutana na mpenzi wangu huwa ninaunganisha magoli mawili,yaani performance haijawahi kushuka zaidi ya shemeji yenu aombe poo,akisema amechoka basi Mimi huyo bafuni ninaenda kujilipua,kiukweli sijui nita acha lini huu mchezo wa kupiga pull yaani nimekuwa teja wa pull


