nateseka kiukweli..

pquite kama uko crius kutaka mme ni bora usijibizane na wa2 humu ili kuonyesha busara yako, otherwise unatania....wish u ol da best

Gud advice ...

Nawaza sasa ukitangaza namna hii hizo pm zitakavyomiminika inabidi uandae siku ya interview e e e??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Yaan ukitaka kuona ni namna gani Simba huwa anawinda Swala, basi pitia kwenye threads kama hizi...
 
pole.dada yangu.kwanza kabisa napenda ujue kusudi la mungu juu ya maisha yako.usipojua utapotea kabisa.mume mwema utoka kwa.mungu.usipojua jambo hili na kumwomba mungu sana juu ya mume wako.ukatumia akili zako utapata masharo baro watakao kuchezea na sio kukuoa.ushauri wangu piga goti kwa mungu akupe mume bora.
 

thanx a lot mine!
 

tatizo wengi wenye sifa hizo tayari wameshaoa........kwakuwa kwao majukumu ni part of their genes:becky:
 
Naona mie nimepigwa chini,

Haya bwana, kwa herini...

Mkatafutane wenyewe kwa wenyewe..lol!!
 
Mmmh!,unadhani tusio na akili timamu tunajitambua?
 
Naona mie nimepigwa chini,

Haya bwana, kwa herini...

Mkatafutane wenyewe kwa wenyewe..lol!!

Hahahaha - umekubali yaishe. Hahaha

Lakini usingesema kwaherini - ungetumia ule usemi wa kikwete unaosema NAWATAKIA KILA LA HERI. LOL!
 
Wakati mwengine tujiulizeni Adam na Eve walipendana kwa mda gani? Kama unajihisi unataka mpenzi si eti unatoa sababu falani ndio watu wakusikitikie au wakufwate. Ww toka nje umpatae ndie; sio kutafuta mpenzi katika mtandao. Ushauri wangu uuwache hapa hapa siwakufatwa!
 
Samahani kidogo mtoa mada mwanaume anayejitambua anakuwaje ?
anakua na sifa gani maana wewe kama ni mwanamke unayejitambua
huna mtu wa kuuenzi huo uanamke wako mpaka hapo ina maana hujitambui
au unatania tu na ww na je inamaana ww bado iko sealed kwani unaonekana
kuna mazoea ya kitu fulani yanakupa shida.
 
Hahahahaha lol! haya Babu!!! Bibi akisoma hii utanuniwa ile mbaya halafu atasusa kukupikia mahanjumati.

JF ni zaidi ya burudani,

Mie pia nilikuwa mpweke jana....


Hivi na wale waotafuna pensheni zao wana nafasi tena??

Ngoja nisubiri, naweza kupata mtu wa kuniboost kama betri ya gari automatic....
lol!!

Babu DC!!
 
Hahahahaha lol! haya Babu!!! Bibi akisoma hii utanuniwa ile mbaya halafu atasusa kukupikia mahanjumati.

Hawezi kukuona bwana,

Sie wa 1947 tulifundishwa kuwa bibi lazima awe na msaidizi.
 
Hawezi kukuona bwana,

Sie wa 1947 tulifundishwa kuwa bibi lazima awe na msaidizi.
hapa lazima kuna mtu kakujibia, lol!
eti BAK unaamini haya ni maneno ya babu DC huyu huyu tunayemfahamu?
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…