nateseka kiukweli..

Pquite

Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
31
Reaction score
11
ni mwanamke umri 27 'nimegundua nina upungufu kwa kutokuwa na mpenzi kwa muda sasa kwani jana mean valentine pamoja ya kwamba nilikuwa na sis yangu na mdogo wangu lakini kuna mda kama saa 8 ivi nilijihs upweke saaana nikagundua mapenzi yanaumuhimu katika maisha yetu binaadam tatizo sijapata mwanaume ninayemhitaji yan naongea kwa kumaanisha i need true love seliosry...! plz mnipm bt niwale wenye akili timam tu mana wengine wanadhani ni utani nataka wanaume wanaojitambua tu!.... plz
 
huku utapata wa kila aina kikubwa uwe mwerevu kuangalia yupi anayefaa na yupi asiyefaa!
 
Pole sana, hiyo siku ni mbaya sana kwa watu wasiokuwa na ubavu wa uhakika
 
pole dada, ni-pm basi mimi nitakupa pumziko.
 
Mie nko pweke takriban wiki mbili vo! Ningekuhadisia kisa changu na nke vangu lakini kirefu nno vo. Kama uko tyari na umetahiriwa chakufanza ni kujitosa kiwanjani mie na ww vo!
 

pole sana kwa upweke, nimekuwa nikijiandaa kabla ya kutafuta mke,sasa nimejidhatiti kiuchumi, kwa hiyo natafuta mke seriously, Im 37 a commited christian na nina kazi nzr. Ni pm km upo serious kweli.
 
JF ni zaidi ya burudani,

Mie pia nilikuwa mpweke jana....


Hivi na wale waotafuna pensheni zao wana nafasi tena??

Ngoja nisubiri, naweza kupata mtu wa kuniboost kama betri ya gari automatic....lol!!

Babu DC!!
 
Sema unataka mume wa mtu, unataka wakuchonga, au asiye na mke??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…