Natengeneza windows 8 kwa bei nafuu sana

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
499
Natengeneza windows 8 kwa bei nafuu sana sana nakukupa cd ya window8 2014 septembar na pin zake yoyote anae hitaji
 
Siuziwi mbuzi kwenye gunia, tukikubaliana utainstall mwenyewe mpaka uhakikishe inafanyakazi vizuri ndo tulipane
 
unachekesha haya bwana baki na xp yako, huu nimfumo wa kisasa zaidi iko fasta sana
 
Unaifanyaje hiyo widows 8.....???
wewe nipe kazi uje uone ila akikisha mashine yako ram zake ziko fit cpu yake iko fit pia hd iko katika viwango vinavyofaakwa w8 wewe kama upo poa niambie
 
Nafanya window 8 kwa bei nafuu sana sana nakukupa cd ya window8 2014 septembar na pin zake yoyote anae hitaji

Unafanyaje Hiyo window 8? Unamaanisha unafanya installation? Unamaanisha nini??
Na hatuiti window inaitwa Windows 8.
Alafu hiyo ni kazi batili na Microsoft corporation alitakiwa kukufunga kwa kusambaza bidhaa zake bila kibali tena kwa kuburn CD za k/koo??
 
mkuu si hivyo unavyofikiri sivyo kuna mtayalishaji mmoja wa muziki nimemfanyia iyo installation na anafanya kazi zake za mziki na filamu ndio maana nikaawaambia kwa bei easy najua uwezi kuamini sababu si shughuli ya kitoto windows 8 kwani wrngi wanjua sana 7 na xp hapa mpaka vista na linux napiga
 
Hii si kazi ya kitoto, unatakiwa madhine uijueeeeee
 
mkuu si hivyo unavyofikiri sivyo kuna mtayalishaji mmoja wa muziki nimemfanyia iyo installation na anafanya kazi zake za mziki na filamu ndio maana nikaawaambia kwa bei easy najua uwezi kuamini sababu si shughuli ya kitoto windows 8 kwani wrngi wanjua sana 7 na xp hapa mpaka vista na linux napiga

Hahahaaaa unajua kutengeneza bootable flash? Au unatumia njia za kizamani kuweka Windows?? Hizo kazi za kawaida sana mkuu mimi sio mtu wa IT lakin believe me napiga hizo mambo hatari sana.
 
nimekuamini mashine unaijua anae ijua mashine utamjua tu! Unasema hatari kivipi mkuu?
 
Najua hayo ni mambo madogo sana, cha ajabu ww unahisi kuwa ni bonge la kazi, km unajua mashine nambie maana ya system bits?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom