Natengeneza Beats (mdundo) kwa wanaohitaji tuwasiliane

kokudo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
2,571
Reaction score
1,782
Kwa wale wanaoimba natengeneza beats(mdundo) kwa wanaohitaji dondosha comment hapa
 
Nitumie Email yako ntakutumia now natumia simu haiwezi kuattach
 
Funguka vzuri ko wew ni Producer Au vp
Kama ni hivyo mm natafuta Lable
 
unapiga vyombi live au ndio hizi za fl studio?
 
masharobaro unawatengenezea beats pia au unawatengenezea weusi tu?
 
Sio live ni FL kaka

Mkuu kama hupigi hata code moja we baaado sana, uproducers sio mzezo, kapige shule zaidi, fl srudio & other music productuon software zinalemaza, pia huwezi kuwa deep, utaishia kutengeneza beatz za viduku, ila serious internation music hutaweza, ila its a goods stats, master kwanza keybord arrangers/synthes/workstations kama vile yamaha prs 910/950/ motiff x 6-10 au korg m3 nk , then hamia kwenye gitars,hapo ukiweza kuspecialize kwenye solo rythm hautakushinda japo huwez kujua kupiga solo hujapitia rythm guitar
 
Wengi wa maproducer kibongo bongo wameanzia hivyo. Ila ni vizuri zaidi akijua na hivyo vitu though kuna aina flan ya Music keyboard tunaitumia kutafutia main melody afu vitu vingine Mouse inahusika kwa kiwango kikubwa!
 
Nimekuelewa kaka ila kama vp tupia sample moja humu nami nikupe sauti yangu tuone tunafanyaje hellotz@yahoo.com
 
Back
Top Bottom