Natengeneza Beats (mdundo) kwa wanaohitaji tuwasiliane

Natengeneza Beats (mdundo) kwa wanaohitaji tuwasiliane

Mkuu kama hupigi hata code moja we baaado sana, uproducers sio mzezo, kapige shule zaidi, fl srudio & other music productuon software zinalemaza, pia huwezi kuwa deep, utaishia kutengeneza beatz za viduku, ila serious internation music hutaweza, ila its a goods stats, master kwanza keybord arrangers/synthes/workstations kama vile yamaha prs 910/950/ motiff x 6-10 au korg m3 nk , then hamia kwenye gitars,hapo ukiweza kuspecialize kwenye solo rythm hautakushinda japo huwez kujua kupiga solo hujapitia rythm guitar

Ushauri mzuri kaka/dada but cde nazijua wala sio inshu sana
 
Wengi wa maproducer kibongo bongo wameanzia hivyo. Ila ni vizuri zaidi akijua na hivyo vitu though kuna aina flan ya Music keyboard tunaitumia kutafutia main melody afu vitu vingine Mouse inahusika kwa kiwango kikubwa!

Sio mbaya ushauri wake mzuri sana nimeupenda na ntaufanyia kazi kuna wanaopiga kutumia keybody ukiwapa proglam hawaziwezi kabisa but anaetumia proglam akimarster kwenye keybody utamkimbia na music kutengenea kwa PC ni kazi ngumu sana but asanteni kwa ushauri
 
safi sana mkuu, najua utafika mbali. all the best najua ukija kuiva both digital and manual music production utatisha.pamoja sana
 
Kaka vipi mdundo uliuona?
Niwie radhi mkuu,huku kwetu network ni tatizo hasa kipindi hiki cha mvua,niliiona mda kidogo ila kudownload ilikuwa ni shida na ndo nimedownload jana tu,ila iko poa sana,sa kama ile ndo unafanya Tshs ngap?
 
Back
Top Bottom