Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,304
- 29,843
Hii hali inakoelekea najiona kabisa nipo ktk msongo wa mawazo maana huyu mwanamke nimeanza kutembea nae tangu mme wake alipoondoka akaenda South Afrika na huu ni mwaka wa tatu sasa. Huwa anakuja na kuondoka ila ajabu ni kuwa sijui mpuuzi gn kamwambia huyu jamaa kuwa huku mke wako mpwayungu village anamtafuna.
Sisi ngozi nyeusi niwahovyo sana unaacha kufuata maisha yako kucha kutwa kupeleka umbea na zaidi ya yote hufaidiki chochote.
ONYO la mwisho aliponipa alisema yeye kuwa South Africa haina maana hataki kuwa karibu na Familia ila tu nichangamoto za maisha hivyo yupo huko kutafuta chakula cha watoto ila akija naakakuta bado naendelea na mke wake atakuja kunifanya kitu mbaya Sana.
Nipo katika tafakuri nzito ila uzuri yupo nje ya nchi ingekuwa yupo Singida au Arusha ningeshaachana na mke wake mda mwingi sana kuepuka fedheha ya kufumaniwa ila kunipiga hawezi maana ni mwembamba sana hana mwili.