Sure the Boy
Member
- Aug 7, 2019
- 15
- 3
Kaz ni kaz ila sijajua Mabox gan mkuu?Maboksi unaweza beba?
RIKIZO NI NINI MKUUJaman wakubwa mimi kijana, nasoma Bsc. Agronomy pale SUA , kwa sasa nipo rikizo dar sina cha kufanya nipo tu nyumban, naomben ushaur maana nataman nipate chochote cha kuwa angalau kinanipatia hata hela ndogo ndogo ya matumiz, na experience.. Wakati huu wa rikizo.
Pamojamtaani graduates wapo wa kutosha maliza kwanza na ww ukae follen
Aseee watu mbona mpo makini na neno tu 1 lililokosewa wakat yapo maneno zaid ya 50 amabayo yapo sahh, ahahah ama kweli kila kitu kna changamoto...Jaman wakubwa mimi kijana, nasoma Bsc. Agronomy pale SUA , kwa sasa nipo Likizo dar sina cha kufanya nipo tu, naomben ushaur maana nataman nipate chochote cha kuwa angalau kinanipatia hata hela ndogo ndogo ya matumiz, au hata experience.. Wakati huu wa Likizo.
Oky shukran ngoja nicheckKuna mtandao wa https://ajiras.com unaweza kukusaidia. Ni freelancing website, unauza ujuzi wako mfano unaweza toa ushauri (consultation services) ya hicho ulicho somea.