Natatuta play station 2 mpya, Dar es salaam

Natatuta play station 2 mpya, Dar es salaam

Mimi ninayo ila imetumika ina cd original kama 10 bei laki 2
 
yeyote mwenye hii kitu please...

Anyway mpya auwezi kupata kwa sababu sony wameacha kuzitengeneza model hii since 2005, utapata mpya labda ukienda kuomba sony wakutengenezee special order au kama kuna mtu aliinunua kuiweka ndani bila kuitumia kama sovergnier...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom