Natarajia kuokoka

Natarajia kuokoka

Ushindwe mkuu.
downloadfile-7.jpg

Angalia wenzako wanavyohamia CCM.
 
hahaaa mtoa mada nakuchora tu maana ku handle pressure ya wana jf wachokoz ni kazi sana, humu kuna watu wapo kuchokoza chokoza watu wenye misimamo kama hio, naona kwa mbali ukishndwa uvumilivu ukakana uwokovu ukaanza ku hit back matusi na kejeli.

Wadau tuendelee kumchokoza tujue kweli kaokoka au kaokoka kwenye uzi.

WHEN MORE PRESSURE IS APPLIED, THE CHARACTER WILL BE REVIELD.
 
Ni kweli, mwanadamu yeyote hapa duniani kwa chochote anachofanya, anafanya kwa sababu anahitaji furaha
Pamoja sana japo kuna watu wapo tayari kuipoteza furaha yetu kwa gharama yoyote but I hope hawataweza.
 
Hata anaepoteza furaha ya mwingine, hufanya hivo kwa kutafuta furaha yake kwa njia isiyo sahihi
But hapo sasa anapoitafuta furaha yake kwa kuondoa furaha ya wenzie kwa njia haramu basi anachokipata pia huwa haramu na malipo yake huwa yasiyopendeza
 
Back
Top Bottom