OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
haifuti lazima ujue nafasi ya kila mmoja ukikosea hapo tu umeharibuu ndugu umeharibuuu!! Yehuwii!! Inabidi sasa wanaume muanze kufanyiwa kitchen party kwa mtindo huu!
usiruhusu kukaa nyumba moja na mamako ukishaoa awe wa kuja na kuondoka!!, mkeo akikukosea yakikuzidi mashtaka kwa mshenga ama kwao C KWA MAMA YAKO.
sounds goodHapo (kama mlishawahi kukutana kabla), basi hakuna cha tofauti, labda tu kwamba kuna kingine kimeongezeka kuwa ni mke/mume. Kwa namna fulani unajihisi huru zaidi.
Kama hamjawahi kukutana; make it an historical night for you. Sherehe .nyingi zinaisha usiku sana. Na mpaka hapo mtakuwa mmechoka na purukushani za maandalizi na hatimaye sherehe yenyewe. Kwa hiyo nashauri mpumzike mwili na akiki ijijenge kwa tukio. Pia;
1. Fahamu mapema ni wapi mtakapokwenda.
2. Kiandae chumba hicho na kila ambacho unadhani utahitaji. Make it romantic..
umri umekwenda kidogo,around 70, and i though this was the best time for her to hang around considering the fact that i am the only favorite son and na yeye akae na wajukuu kidogo, how bad is that??
is not bad,lakin hapo inategemea na kudra za Mwenyezimungu,kama kampangia awaone atawaona,na kama kampangia asiwaone,hatawaona KAMWEumri umekwenda kidogo,around 70, and i though this was the best time for her to hang around considering the fact that i am the only favorite son and na yeye akae na wajukuu kidogo, how bad is that??
umri umekwenda kidogo,around 70, and i though this was the best time for her to hang around considering the fact that i am the only favorite son and na yeye akae na wajukuu kidogo, how bad is that??
Heaven on earth, mamas boy ni watu wa aina gan?
wakuu natarajia kutia ndani mahabuba.
Yapi ya msingi ya kufanya usiku baada ya sherehe ukumbini na siku ya kwanza ya kuishi kama mume na mke.
Naomba unipe experience yako na ushauri wa nini cha kufanya.
Mkuu, naomba nikuulize maswali kadhaa kabla ya kukueleza cha kufanya...
1. Je wakati unafanya maamuzi ya kuoa ulimshirikisha kaka / baba au watu wazima wenye experience katika ndoa????
2. Natumai u - muumini wa dhehebu fulani Muislamu / Mkristo, je hujapewa nasaha au mafundisho ya dini kuhusu ndoa????
Hebu jibu hayo maswali kisha tuendelee.....
kwan mtoa mada ni ke au me?
i will take this with me,kwa uzoefu wangu
Usimamie uamuzi wako popote pale, wewe umeoa au kama unaolewa hilo suala jengine, wewe ndio mwenye uamuzi usitetereke
Wanawake ni wajanja hupenda kulialia siku za mwanzo yote hiyo kukupima uwezo wako katika maamuzi ukitetereka siku za mwanzo ndio imekula kwako