Natarajia kufungua Station ya radio

Natarajia kufungua Station ya radio

americana

Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
84
Reaction score
37
Habari wananchi wenzangu.

Mimi ni kijana wa kiume wa miaka 30, kama kichwa cha habari hii kilivyo, nilikuwa na ndoto kubwa sana za kumiliki kituo changu cha matangazo ya redio kwa muda mrefu sana.

Malengo yangu yangu ni kuanza kwa kuwa nasikika kwenye mkoa wangu pekee ili baadae nitanue wigo hadi ikibidi Tanzania nzima.

Naombeni ushauri kwa wenye kujua na ambao watapenda kuungana nami ila sihitaji share wanaweza kuni PM.

Asanteni sana nasubiri maoni yenu.
 
Mungu akusimamie ufikie malengo yako.

Ukianzisha usinisahau ''kaajira'' kidogo kijana mwenzako.
 
Uwe unanitaja kwenye mabolingo ukipiga......"papaa Moisemusajiografii na fasi ya Lubumbashi"....mkuu😀😀😀
 
Back
Top Bottom