Ndugu wanajf na Watanzania wote,natangaza rasmi kukihama chama cha Demokrasia na maendeleo kutokana na mwenendo wake mzima katika chama.Kama wanachama wenyewe hawapatani ndani ya chama,watawezeje kutengeneza muungano wa kidemokrasia utakaolenga kulikomboa Taifa!,Hivyo kwa moyo wa dhati kabisa mimi Msingida,nakihama chama hichi Rasmi leo.Asanteni kwa kusoma uzi huu.
.....Mkuu naomba unijuze.....nimesoma maandiko mengi juu ya hili suala la mh Zitto.....sijui amehukumiwa kwa kosa gani......kwa kufuata utaratibu upi.......hakuna mahala yanatajwa haya......tafadhaliHongera ndugu yangu. Nami natangaza kujiunga na Chadema rasmi baada ya kuondolewa nyoka huyo ambaye amekuwa akikikosha amani chama. Ni bora alivotokomea! Hurreeeeeeeee!
Ndugu wanajf na Watanzania wote,natangaza rasmi kukihama chama cha Demokrasia na maendeleo kutokana na mwenendo wake mzima katika chama.Kama wanachama wenyewe hawapatani ndani ya chama,watawezeje kutengeneza muungano wa kidemokrasia utakaolenga kulikomboa Taifa!,Hivyo kwa moyo wa dhati kabisa mimi Msingida,nakihama chama hichi Rasmi leo.Asanteni kwa kusoma uzi huu.
Ndugu wanajf na Watanzania wote,natangaza rasmi kukihama chama cha Demokrasia na maendeleo kutokana na mwenendo wake mzima katika chama.Kama wanachama wenyewe hawapatani ndani ya chama,watawezeje kutengeneza muungano wa kidemokrasia utakaolenga kulikomboa Taifa!,Hivyo kwa moyo wa dhati kabisa mimi Msingida,nakihama chama hichi Rasmi leo.Asanteni kwa kusoma uzi huu.
Ndugu wanajf na
Watanzania wote,natangaza rasmi kukihama chama cha Demokrasia na
maendeleo kutokana na mwenendo wake mzima katika chama.Kama wanachama
wenyewe hawapatani ndani ya chama,watawezeje kutengeneza muungano wa
kidemokrasia utakaolenga kulikomboa Taifa!,Hivyo kwa moyo wa dhati
kabisa mimi Msingida,nakihama chama hichi Rasmi leo.Asanteni kwa kusoma
uzi huu.
Unapoandika Pumba zako ujaribu kufikiri, hakuna mnyiramba hewa style yako pengine we ni wa makunda kwa mwigulu! Unafaham vizur nguvu ya chadema Iramba au unaongepea tu kwa njaa zako?
Unapoandika Pumba zako ujaribu kufikiri, hakuna mnyiramba hewa style yako pengine we ni wa makunda kwa mwigulu! Unafaham vizur nguvu ya chadema Iramba au unaongepea tu kwa njaa zako?
Ndugu wanajf na Watanzania wote,natangaza rasmi kukihama chama cha Demokrasia na maendeleo kutokana na mwenendo wake mzima katika chama.Kama wanachama wenyewe hawapatani ndani ya chama,watawezeje kutengeneza muungano wa kidemokrasia utakaolenga kulikomboa Taifa!,Hivyo kwa moyo wa dhati kabisa mimi Msingida,nakihama chama hichi Rasmi leo.Asanteni kwa kusoma uzi huu.
Ndugu wanajf na Watanzania wote,natangaza rasmi kukihama chama cha Demokrasia na maendeleo kutokana na mwenendo wake mzima katika chama.Kama wanachama wenyewe hawapatani ndani ya chama,watawezeje kutengeneza muungano wa kidemokrasia utakaolenga kulikomboa Taifa!,Hivyo kwa moyo wa dhati kabisa mimi Msingida,nakihama chama hichi Rasmi leo.Asanteni kwa kusoma uzi huu.
Mimi na familia yangu tumejiunga rasmi Chadema baada ya CC kuondoa kansa ndani ya Chama.Mimi ni mpiga kura,nimefanya hivyo kwa kutambua thamani ya kura yangu.
Mnyiramba mda mwingine kama"mtoto mchanga"